Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo.
Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua ni hakupitiki jamani tunaomba msaada kwa Serikali watuangalie tunakwama sana, gari za Watoto wa...
Habari wakuu,
Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa,
Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A.
Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini.
Kiwe Self contained,
Usalama mkubwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini
Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025 Jijini Dodoma ambapo pia aliandaa chakula Cha mchana(UBWABWA)Kwa wanachama wa CHAUMMA na Wananchi wa...
A House to Call Home – For Sale!
📍 Location: Iyumbu , Dodoma
📐 Plot Size: 1,500 SQM
🏠 Structure:
5 Spacious Bedrooms
Servant Quarters (Self-contained)
Large Living Room
Dining Area
Kitchen + Store
Study Room
Garden & Ample Parking
💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu
Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini.
Bei ni Tsh. Milioni 250
Call/WhatsApp +255758844717
Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini.
Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Mfuko wa Jimbo.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu kutokana na hali ya kusuasua kwa mradi huo na hivyo kuagiza kuandaliwa kwa taarifa mpya yenye majibu...
TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!!
Kuna watendaji nahisi hawaelewi wajibu wao katika taasisi za Serikali especially TANROADS. Na hili shimo ipo siku litasababisha ajali...
Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.