“Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu.
Amesema...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu.
"Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan
Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na...
Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo
" Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho.
Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA
DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI
Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya
Kwenye Video ni...
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD
Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO
Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu...