dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia ahimiza usimamizi wa rasilimali za umma katika mkutano wa IPU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi. Rais...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia: Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za dini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na kijamii kwa ajili ya ustawi wa Watanzania. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo (Jumapili, Oktoba 4, 2026)...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  6. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. 🇹🇿🔥

  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    ■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  8. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  9. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Dkt. Samia na Ndejembi turufu mpya ya maendeleo kwa watanzania

    Na Cde Shaka Hamdu Shaka Jumatano, Agosti 26, 2026 ilikuwa siku ya kihistoria. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya maamuzi magumu yenye kubeba maslahi mapana ya Taifa letu. Maamuzi hayo yakapata baraka na kukamilika Jumamosi, Agosti 29, 2026 - siku ambayo vizazi vijavyo vitaisoma kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi 🇷🇺

  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Anahitimisha Mafunzo Ya Maafisa Na Wakaguzi Wasaidizi Wa Polisi Kozi Na. 1/2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=AsjCN8DKAh0
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Dkt. Samia: Hekima, Amani na Uzalendo

    Katika historia ya taifa letu viongozi wanaobeba moyo wa uzalendo wa kweli huendelea kukumbukwa kwa namna walivyoweka mbele maslahi ya wananchi na kulinda heshima ya nchi yao. Ameendelea kuonesha mfano huo kupitia uongozi wake wenye utulivu hekima na moyo wa kujali watu hili ni lazima Liwekwe...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Miradi mikuu ya kimkakati chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, 2021 – sasa

    MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu: 1...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 43 wa AUDA-NEPAD

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akisalimiana na rais wa Kossovo, Vjosa Osman-Sadriu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…