Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa...
Naona Itifaki imezingatiwa.
VP Kwa VP.
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam.
Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
dkt.philipmpango
gerson msigwa
haja
hii
kamala harris
kwenda
makamu
makamu wa rais
makamu wa rais wa marekani
marekani
mpya
nchini
rais
siku
ugeni
viongozi
vizuri
ziara
zuhura yunus
Kudos Wadau..
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk. Samia kama Fiston Mayele wa Yanga.
Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia kuiwa Saini Kwa Kipande Cha Sgr kutoka Tabora Hadi Isaka.
Aisha akiwa Shinyanga ameweka Jiwe la...
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia
Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA ZA KIMATAIFA WA UFARANSA MHE. FRANCK RIESTER IKULU DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Oktoba 19,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
30 Juni 2021
Paris , France
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta wa kifaransa marafiki wa Tanzania Mheshimiwa RONAN DANTEC M. Ronan Dantec, sénateur de la...
Wadau wa JF
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 08,2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Piere Nkurunziza
Kumbukizi hiyo iliyohudhuriwa na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe.
Dkt Mpango amepiga kura hiyo akiwa kijiji anachotoka cha Muyama kilichopo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma
Mubashara:
Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino Mkoanii Dodoma na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mhe. Samia Suluhu Hassan...