dkt. nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi: Uhamiaji tumieni busara bila kuvunja Sheria

    Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi awasili Mtwara

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani Lindi, leo tarehe 18 Machi 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais, Dkt. Nchimbi: Vijana wengi hawajui umuhimu wa Muungano

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi hawajui historia na umuhimu wa muungano. Dkt. Nchimbi ambaye alikuwa kwenye kikao kazi akizungumza na...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nchimbi: Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu

    Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) Jijini Kinshasa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi amwakilisha Rais Samia Congo kwenye Mkutano wa wakuu wa Nchi-ICGLR

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika, jijini...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Majeshi yetu ni imara kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu

    Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake! ================== “Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi CCM ina uzoefu wa kuongoza nchi na vyama vingine vinaweza udiwani na ubunge

    Huyu Mzee naye, anavyotamba. Mbona mnawapiga pini wapizani wenu wakubwa kama nyinyi mnajiamia na mnauwezo wa kuongoza nchi? Tuone nafasi muone balaa lake ================ Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kina uzoefu wa kuongoza nchi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: CCM kugharamia matibabu ya saratani na figo ndani ya siku 100 za kwanza madarakani

    Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena nchi. Amesema hayo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba, uwanja wa Ngudu mjini ambapo atafanya Mkutano Mdogo wa hadhara, baadae atapita wilaya ya Misungwi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…