diwani

Diwani is a calligraphic variety of Arabic script, a cursive style developed during the reign of the early Ottoman Turks (16th century - early 17th century). It reached its height of popularity under Süleyman I the Magnificent (1520–1566).
It was labeled the Diwani script because it was used in the Ottoman diwan and was one of the secrets of the sultan's palace. The rules of this script were not known to everyone, but confined to its masters and a few bright students. It was used in the writing of all royal decrees, endowments, and resolutions. A Diwani text adorned with a tugrah, a complex calligraphic seal, represented the authority of the Sultan and the Ottoman state.The Diwani script can be divided into two types:

The Riq`a Diwani style, which is devoid of any decorations and whose lines are straight, except for the lower parts of the letters.
The Jeli Diwani or clear style. This kind of handwriting is distinguished by the intertwining of its letters and its straight lines from top to bottom. It is punctuated and decorated to appear as one piece. The Diwani handwriting is known for the intertwining of its letters, which makes it very difficult to read or write, and difficult to forge.

Diwani is marked by beauty and harmony, and accurate small samples are considered more beautiful than larger ones. It is still used in the correspondence of kings, princes, presidents, and in ceremonies and greeting cards. and has a high artistic value.

View More On Wikipedia.org
  1. Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

    Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
  2. Ushauri kwa Diwani wa Kata ya Nyasura Wilayani Bunda Kiboko Magigi

  3. LGE2024 Katavi: Polisi yajibu madai ya Mgombea wa CHADEMA kupigwa na Diwani wa CCM, yasema alifanya fujo

  4. LGE2024 Diwani wa Kata ya Wazo Tungaraza: Ukiona wapizani wameshinda ujue ni mkawanyiko miongoni mwa wana CCM

    Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya. “Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...
  5. PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  6. LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  7. Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  8. Diwani Selungwi asema SHIMWATA ni mgeni mwema Mkuranga

    Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari. Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
  9. Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika na Diwani wa Cheyo kufikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma

    Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
  10. Mkurugenzi wa Chunya akataa maombi ya Diwani na Wananchi kuhusu kushusha bei ya kuhifadhi maiti

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
  11. Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa. Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
  12. Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  13. B

    Dr Samia atamaliza Muda wake, Zahanati na Shule Hata Diwani anaweza kujenga, Tumuombee Aache Legasi ya uhakika 2030 sio Mbali.

    Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah. 2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo. Je tutamkumbuka kwa lipi...
  14. Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya kujiepusha na maneno ya uchonganishi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Mhe. Maganga ametoa wito...
  15. PreGE2025 Je, haya ya huyu Diwani wa Kyela 2020 yanaweza kumkuta "mama" 2025?

    Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa namna hiyo hapo Lusungo na ukanda wa Ndamba kwa ujumla. Utawala wake ulikuwa wenye kuudhi watu...
  16. Maandalizi ya Uchaguzi? Diwani ajitolea kumlipa mwalimu anayejitolea na kutoa trekta lake kulima shamba la shule

    DIWANI wa Kata ya Langai, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (Mugabe), amejitolea kumlipa Sh. 100,000 mwalimu wa Shule ya Msingi Langai ambaye anafundisha kwa kujitolea. Pia diwani huyo maarufu kama Mugabe, ametoa trekta lake na kuwalimia ekari 10 kwenye shamba la...
  17. Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  18. Diwani wa CCM akamatwa kwa kumpiga makofi Mwenyekiti wake

    Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  19. Hatimaye nimemjua na kuanza kumuona Mwenyekiti na Diwani wa Mtaani kwetu

    Salaam ndugu zangu, Nimekaa mtaani kwetu hapa takribani Miaka mitatu lakini sikuwahi kumjua Wala kumuona Mwenyekiti Wala Diwani wa Mtaani kwetu. Tumekuwa tukipata shida za Maji, changamoto za kijamii lakini daima sikuwahi kumuona. Lakini Mwaka huu tangu uingie nimemuona zaidi ya mara tano...
  20. Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…