dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  2. JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Niwatakie siku yenye baraka tele
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Kafulila: Ni vizuri aliyeiandaa dira ya 2050 apewe nafasi ya kuiwekea misingi walau hadi 2030

    KAULI HII YA KAFULILA INAFUNGA MJADALA Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam, Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha DK45 kinachorushwa na runinga ya ITV kila Jumatatu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP Centre), Bw. David Kafulila, ametoa taswira pana kuhusu ndoto ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  5. JamiiForums Tanzania Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Dira ya maendeleo ya 2025-2050 ikitekelezwa na CCM.

    Kila mtanzania atapata dola 5000 kwa siku
  7. JamiiForums Tanzania Vijana na dira ya taifa

    Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,, Leo hii kijana anaonekana kama tishio...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  11. JamiiForums Tanzania Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

    Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!. Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !! Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili. Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
  13. JamiiForums Tanzania Dira ya taifa moja wapo ni hii

    Kweli kufika 2050 kama tutakuwa nao hawa majoyce wowote tutarajie vituko.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  15. JamiiForums Tanzania DIRA 2050

    Habari za jioni wanajukwa wa Jamii Forum Baada ya Dira 2050 kuzinduliwa leo, lakini pia kwa kuzingatia kuwa huu ndio muongozo wa Taifa kwa miaka 25 ijayo. Pamoja na kuichambua kiundani mapungufu na mazuri yake, naomba watalam wa uchumi au wajuzi wa haya mambo mtuambie ni maeneo yapi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dira imeweka msisitizo kwenye suala la Haki, Maadili na utamaduni

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na kulinda maadili na utamaduni wa watanzania akisema kuwa haya ni maeneo muhimu kwa ustawi wa watanzania ...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  18. JamiiForums Tanzania Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

    1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni kiini macho, kama kweli serikali ya CCM ipo serious tunataka tuone vitendo kuanzia sasa

    Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya 1977 inaendana na Dira ya 2050?

    Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025? Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050? Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali? Je, Katiba yetu inalindaje utekelezaji wa dira 2050. Je kama utakwenda kinyume na dira utafanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…