Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia.
Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, huku akieleza malengo makuu ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kisasa, jumuishi na wenye ushindani wa kimataifa,Katika hotuba yake...
Mfanyabiashara Rostam Aziz kwaniaba ya Sekta binafsi nchini Tanzania Alhamisi Julai 17, 2025, amebainisha kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 ni Dira ya wananchi, akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kwa kusimamia na kuufanya mchakato wa uandaaji wa Dira 2050 kuwa wa...
Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo kutambua dira ya maendeleo tangu walipokuwa, walipo sasa na wanakoelekea.
Chege ameendelea kuwapa...
==
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Dkt Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025 - 2050 chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri tu kuzinduliwa kwa...
Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa kama taifa linajilinda dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kuibuka kwenye matumizi makubwa ya...
Wanabodi
Niko hapa ukumbi wa JNCC nikikuletea Live Mkutano wa Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Karibuni sana.
https://www.youtube.com/live/aZDU3ogL-jo?si=qC7GfiL6B69e_mxS
Paskali
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa chama cha DPP, Philipo John Fumbo.
Fumbo anawaambieni mzae kwa sababu Tanzani ni tajiri.
Maneno haya alishawahi kusema kiongozi mmoja kutoka CCM kabla hajafariki dunia.
================
Kama hizi ndio sera za vyama vya upinzani...
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.
Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.
Sasa Kwa wapanga...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea.
Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
Hii nchi inahitaji maono yatayoishi kama muongozo wa kila mtu atayekuja kuliongoza taifa haihitaji mtu.
Akija mtu mzuri akiondoka ndo basi akija mbaya ndo hivyo lazima uwepo msingi wakutuongoza wote.
Malengo makuu ya taifa yapewe kipaumbele labda hii miaka mitano kitekelezwe hiki ndipo...
Bila shaka ni kwamba tunahitaji dira ya maendeleo itakayotuongoza kwa kipindi cha muda fulani,ili kufikia Malengo thabiti yenye maslahi mapana kwa nchi.
je tuna sera imara ambazo zitawabana viongozi na watoa maamuzi ili waende sambamba na Dira hiyo bila kukiukwa??! jibu ni HAPANA.
UWAJIBIKAJI...
Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo
1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo
2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
Utangulizi
Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025- 2050 unaendelea. Vipo vipaumbele ambavyo wanajamii tungetamani viwepo katika nyaja mbalimbali. Hapa...
Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.