dini moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ERTUGRUL BEY

    Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    My people, Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
  2. M

    Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  3. ELI COHEN

    Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  4. Khanji kapoor

    Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

    Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu! Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia...
  5. C

    SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

    Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment. Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
  6. Mhaya

    Dini zenye wafuasi wengi Duniani

    Hapa kuna orodha ya dini kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa idadi ya wafuasi wao: 1. Ukristo: Ukristo unajumuisha madhehebu mbalimbali kama vile Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste, na wengine. Inakadiriwa kuwa na zaidi ya bilioni 2.3 ya wafuasi duniani kote. Ukristo ni dini...
Back
Top Bottom