dimbani

Dimbani - officially Kizimkazi Dimbani - is a village on the Tanzanian island of Unguja, part of Zanzibar. It is one of a pair of villages located close to the southern tip of the west coast, the other being Kizimkazi Mtendeni (commonly known simply as Kizimkazi).
Dimbani's most notable feature is Kizimkazi Mosque, one of the oldest Islamic structures in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  2. ELI COHEN

    Hii picha imenifikirisha sana

    Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa. ILA, Huyu wa kulia akienda kwenye...
  3. K

    Ushindi 99% tulopata kwa local government ilitupasa kumwambia CHADEMA chagueni tume awe nani Kisha tuingie dimbani tungeshinda asubuhi

    Sijui huu uoga ni wa nini Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
  4. ELI COHEN

    POV: Kama hauko dimbani, itumie siasa kama burudani ila utakapo kubali ikufanye chombo chake utasambaratika na wala haitakukumbuka.

    Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall. Ushetani mtupu usiojali utu. Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall. Vita ya kulinda kiti hata kama itahitajika damu kumwagika. Siasa ni wizi wa fikra isiokukubali in general, ukishindwa kuiiba...
  5. Waufukweni

    Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

    Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez. Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
  6. othuman dan fodio

    Ni wazi kwamba CCM imekosa attention kabisa, kampeni za chaguzi za CHADEMA zimefifisha kabisa taarifa zao

    Ni wazi kwambq CCM imekosa attention kabisa, kampeni za chaguzi za CHADEMA zimefifisha kabisa taarifa za kinachoendeleq huko Dodoma, watu kila leo wapo bize kutaka kujua chadema kuna nini kimeongelewa nn hii imepelekea watu wasiupe umuhimu ule upande wa pili. Sasa kesho wanachi wapo dimbani ni...
  7. Blasio Kachuchu

    Rais Samia aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Soko la CRDB Kizimkazi Dimbani, Kusini Unguja Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (watatu kushoto) kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Martin Warioba (kushoto) wakifanya tukio la uzinduzi wa ujenzi wa soko la kisasa la...
Back
Top Bottom