othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,847
- 11,029
Ni wazi kwambq CCM imekosa attention kabisa, kampeni za chaguzi za CHADEMA zimefifisha kabisa taarifa za kinachoendeleq huko Dodoma, watu kila leo wapo bize kutaka kujua chadema kuna nini kimeongelewa nn hii imepelekea watu wasiupe umuhimu ule upande wa pili.
Sasa kesho wanachi wapo dimbani ni nani atapoteza muda wake kuangalia makamu m/kiti anavyosimikwa bila kupigiwa kura aache kuangalia kandanda safi.
Kimsingi kule kumebuma hakuna jipya kazi yao wangeweza kuifanya hata wakiwa majumbani kwao kwa kupigiana simu na kutumiana sms na kumpitisha huyo makamo.
Niwape pole kwa mdororo huo na aibu wamayopitia