digitalsecurity

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Taarifa za watumiaji Milioni 500 wa LinkedIn zadukuliwa na kuuzwa mtandaoni

    LinkedIn imethibitisha kuwa taarifa zilizofutwa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo ni sehemu ya hifadhidata ‘database’ zilizochapishwa na wadukuzi. Taarifa za kudukuliwa na kuuzwa kwa data ilichapishwa mara ya kwanza na tovuti ya utafiti ya Cybernews ya usalama wa kitandao tarehe 7...
  2. BenKaile

    Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  3. J

    Elimu na Maarifa kuhusu Ulinzi wa Kidigitali (Digital Security)

    Ulinzi wa Kidigitali ni nini? Ni Ulinzi na Usalama wa Vifaa na Mifumo ya Kidigitali. Somo hili ji kutokana uwepo wa matukio ya kila siku yanayohusisha mashambulizi na kuingiliwa kwa Vifaa vya Kidigitali na Mifumo yake Maendeleo ya Teknolojia yamebadili namna ya uendeshaji wa mambo katika jamii...
Back
Top Bottom