Digital rights are those human rights and legal rights that allow individuals to access, use, create, and publish digital media or to access and use computers, other electronic devices, and telecommunications networks. The concept is particularly related to the protection and realization of existing rights, such as the right to privacy and freedom of expression, in the context of digital technologies, especially the Internet. The laws of several countries recognize a right to Internet access.
March 25, 2026
DODOMA, TANZANIA – In a major victory for digital freedom advocates across Africa, the High Court of Tanzania has dismissed a series of government attempts to block a constitutional challenge against the 90-day suspension of JamiiForums. The ruling, delivered on March 16, 2026...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 16, 2026 kwa ajili ya upande wa Jamhuri kuwasomea hoja za awali (PH) askari Polisi wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp wa Mange Kimambi.
Hatua hiyo ni baada ya upelelezi wa kesi...
Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini? :BearLaugh: :KEKLaugh::KEKLaugh: majirani wanajua kutusuta😂.
Ila tukisema ukweli kutoka moyoni, si ni kama majirani wametusadia Watanzania kulipiza hata robo kwa madhila...
digitalrights
freedom of expression
haki za kidigitali
kuelekea 2025
mtandao
mtandao wa x
mtandao wa x kufungiwa
tanzania
twitter
uhuru wa maoni
umekuwa
x(twitter)
x(twitter) kufungiwa
Wakuu,
Serikali kila siku wanazidi kututhibitishia kuna mizigo 90% kwenye hivyo vitengo huko! Kwahiyo kwa madai yao ni watu wamefungua page zinazofanana na wao lakini sio kwamba page zao zimedukuliwa?
Basi wadukuaji wafanye kweli na hizo page sizirudi tuone watasemaje sasa hivi🌚. Kwahivyo...
Hiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?:KEKLaugh::KEKLaugh::BearLaugh: Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao?
Ila majirani...
Wakuu,
Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na kutuingizia hasara?
Yaani Lissu anawatetemesha mpaka mnatumia resource zote kuhakikisha mambo hayaendi sawa...
Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
Wakuu,
Katika kada karibu zote tuko nyuma sana kitekknolojia, hata ambao ungetegemea wawe updated nao mambo ni yale yale.
Mfano waandishi wa habari, mambo yanabadilika kila leo, sasa tuna mitandao ya kijamii na nyenzo za kadhaa ambazo ukilinganisha na vinavyofundishwa huko vyuoni ni huzuni na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
Salaam Wakuu,
Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki.
Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
Wakuu,
Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani?
Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama?
Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena.
Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba.
Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
ai policy
akili mnemba
data privacy
data privacy day
digitalrights
haki za kidigitali
jamiiforums
personal data protection
ulinzi taarifa binafsi
ulinzi wa faragha
Wakuu,
Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi?
Taarifa kamili hizi hapa chini:
---
Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
Wakuu,
Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN.
Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
Na -Nishan Khamis
Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya kuwasiliana na jamii, na kushawishi sera za kisiasa. Hata hivyo, changamoto nyingi zinawakabili...
Kwema Wakuu,
Katika another episode ya digitali samala kwa watoto, welcome to my channel😂😂 vile najiona kama influencer wa maana:BearLaugh:.
Kama mada inavyosema Wakuu, wengi tunadharau watoto hawajui mambo tunayoona ni 'makubwa' kwa umri wao na wengina naona tunaogopa tu kujua ukweli...
Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
Wakuu salaam,
Tuna wazazi na walezi wa aina tofauti kwenye jamii, kuna wale wanaokwenda na wakati na wale ambao kidogo ka ukoloni kapo wakiamini njia zilizotumika miaka 47 kwake zitafanya kazi katika kizazi hiki.
Matumizi ya digitali yakua kadri siku zinavyosonga, si tu kwa watu wazima kwani...
Wakuu salam,
Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi.
Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.