dhumuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The patriot man

    Ni kweli Mange kimambi una hoja je baada ya matokeo nini na pia dhumuni lako nini?

    Mange Kimambia anahoja na ametuomyesha mambo yaliyotokea kwenye giza je baada ya anayotaka yakatokea lengo lake ni lipi haswa? Je utarudi Tanzania ? Au utaendlea kukosoa serikali ya Tanzania MANGE KIMAMBI aje before Dec 9 aandamane na mimi akija nitaandamana kabisa ndo nijue kweli wewe una...
  2. K

    Dhumuni ni lilelile: No Reform, No Election

    Hatua ya mwanzo ya kufanya marekebisho, 'Reform' Samia alikaidi, alidharau, alighaili; ikapita. Sasa tunaelekea kwenye hatua ya pili ya kutokuwepo uchaguzi, 'No Election', hapo Oktoba 29. Sasa tutaanzia wapi kuulizana maswali wakati kila kitu kilikuwa wazi toka mwanzo? Uchaguzi wa viongozi wa...
  3. Mr Beach Boy

    Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  4. Tlaatlaah

    Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  5. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  6. Itug

    Mwalimu Commercial Bank (MCB) ilianzishwa kwa dhumuni gani?

    Hii bank viongozi wa chama cha waalimu, TSC na wahusika wengine wengi, walikuwa na dhumuni gani kuianzisha? Waalimu walikuwa na vyama vta kuweka na kukopa na vilikuwa(hata sasa vipo) kisheria kabisa! Nimejaribu kufuatilia nikakuta wana matawi matatu Dar Es Salaam, mengine ni Mwanza, Morogoro na...
Back
Top Bottom