My people,
Utangulizi
Maandamano ni mojawapo ya njia kuu ambazo wananchi hutumia kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Kihistoria, maandamano yamechangia mabadiliko chanya katika jamii nyingi. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo maandamano, badala ya kuwa daraja la suluhu...