dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  3. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  4. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Wanafahamu kuwa chuki dhidi yao imeongezeka maradufu?

    Wanapaswa kujihoji sana kwanini wanachukiwa? Walikuwa peke yao kwenye kinyag'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2025 Kabla hata matokeo kutangazwa ghasia na vurugu zikaibuka. Ukikaa mitaani ni wachache saana wanaowasema vizuri Chuki dhidi yao imezidi maradufu
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa hujuma dhidi ya mafisadi siyo maandamano wala mitandao

    Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  12. JamiiForums Tanzania China yashinda shambulio la kimtandao la Marekani dhidi ya “Saa za Beijing”

    Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
  13. JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

    Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…