dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee 15 Juni, 2024

    Wasaalam wanajukwaa wote. Wito kwenu tuungane wote kuwatakia Wazee wetu kote nchini🇹🇿 HERI YA MAADHIMISHO ya Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee Leo 15 Juni, 2024. Kaulimbiu "Utu, Usalama na Ustawi ni nyenzo ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wazee". TUKUMBUSHANE wote...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Ukatili dhidi ya wakazi maeneo karibu na reli ya SGR

    Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire. Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi za kijinai/madai dhidi ya wanawake ziangaliwe kwa jicho la 3, la sivyo tutahukumu wasio na hatia

    Gender balance Ni mtizamo au mfumo wa kuweka usawa wa kijinsia..kwa sasa dunia ipo katika kuchukua affirmative action kuitetea jinsia kwa kuamini kuleta usawa wa kijinsia lakini inaonekana ni silaha kubwa dhidi ya watu wenye ushawishi wa kifedha,kisera/siasa au kijamii ikiwa wataenda kinyume...
  4. JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi ya KANU ya Kenya kunyang'anywa jengo la KICC, Iko siku itawakumba CCM.

    Jaji Jacqueline Mogeni wa mahakama ya Ardhi Kenya, ametupilia mbali hoja ya chama cha siasa cha Kenya Africans National Union (KANU) ya kudai kuwa walinyang'anywa Jengo la Kimataifa la mikutano la Kenyatta (Kenyatta International Conference center-KICC) kinyume Cha Sheria. Pia Jaji Mogeni...
  5. JamiiForums Tanzania Makonda alipopigana vita dhidi ushoga na madawa ya kulevya mlisema anadharirisha watu. Leo hii mnalialia nini?

    Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Papa Fransis kikaangoni tena, arudia kauli yake dhidi ya ushoga kwenye kikao cha faragha

    Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya ulawiti na ubakaji kwa watoto kunusuru vizazi vyetu

    VITA DHIDI YA ULAWITI NA UBAKAJI KWA WATOTO KUNUSURU VIZAZI VYETU UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto wa dogo tatizo hili linaongezeka kwa kasi sanaa .takwimu zinaonyesha kufikia aprill,2024 jumla yamatukio 799 ya...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has become a global challenge, caused primarily by the increase in greenhouse gases and excessive...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  10. JamiiForums Tanzania USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

    Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b) technology c) silaha d) Vita e) Biashara Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja. Kama...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

    Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Chile joins developing nations...
  12. JamiiForums Tanzania Houth wafanya shambulio dhidi ya Marekani ambalo hata China na Urusi hawajawahi fanya

    Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia. Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa kupiga meli ya kubebebea ndege (Aircraft carrier) iitwayo Eisenhower. Kwa maelezo ya msemaji huyo...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  15. JamiiForums Tanzania Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

    Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Usugu wa vimelea dhidi ya dawa haya ndiyo maoni na ushauri wangu

    Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikiwa kwenye vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, kwa nini ofisi za ardhi za mkoa ziliendelea kutoa hati kwa matapeli wa ardhi?

    Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…