Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
Mada inahusika
Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana.
Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko.
Naam. Hii GNu ya Dk Mwinyi mwisho wake unaonekana kwa macho ya karibu. Nia njema au mbaya itaonekana...
Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
Na Philipo Mwakibinga
Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa.
Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...