dhamira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Bado kweli Samia ana dhamira ya kuendelea kumtesa Lissu na kesi ya Uongo?

    Ngoja tusubiri Jtatu! But accomplice wa mateso ya Lisu CJ anahusika sana!
  2. Common Folk

    PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

    Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU? Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
  3. R

    PostGE2025 Upinzani na Wanaharakati ijibu so called hotuba kwa weledi mkubwa, bila jazba wala vijembe kama alivyotumià. Onesha dhamira safi

    Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron when still hot! Mwonyeshe kuwa mna dhamira safi na nchi yetu.
  4. M

    PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  5. K

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  6. A

    GE2025 Alex Msama; mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

    Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi. Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili. Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
  7. Alloyce PR

    Mwendo wa Kujilazimisha si Safari ya Maono

    "Kila mwendo unaoulazimisha hubeba mizigo ya wengine, si ndoto yako. Epuka kuishi kwa kasi ya matarajio ya watu, ukasahau mwito wa dhamira ya akili yako." — Alloyce, P.R.
  8. The redemeer

    Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  9. Mhafidhina07

    HAKI ni neno geni lenye ukakasi, je dhamira yake ni nini?

    Mungu ni mmoja hayupo mfano wake,nguvu yake ni kuu hakuna wa kuisambaratisha na duniani kuna sura mbili unaweza kuchagua mwenge au bichwa je,ni njia gani utaitumia kupata matokeo unayoyataka? Mahubiri ya haki siyo jambo geni katika vichwa vyetu wapo wanazuoni Kama akina aristotle na Plato,Weber...
  10. Paspii0

    Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  11. President of China

    Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Utangulizi Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mkurugenzi Mkuu wa NSSF: Dhamira ya Serikali ni Kuhakikisha Wananchi Walioajiriwa Wananufaika na Hifadhi ya Jamii

    MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII. Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili kujiwekea akiba kwa maisha bora ya sasa na ya baadaye kupitia kampeni ya NSSF Star Mchezo Mkurugenzi...
  13. B

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye alithibitisha dhamira ya Burundi katika kuleta amani nchini DRC

    27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa kigeni wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi kwa mara ya pili mwaka huu 2025, na kuleta mapendekezo...
  14. T

    Hivi nini dhamira gani ilimsukuma Kikwete kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba miaka ya 2013-14!?

    Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi. Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira...
  15. R

    Rais Samia alikuwa na dhamira thabiti na maridhiano lakini intensive internal pressure ikamtoa kwenye Reli

    1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano. Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake wakamzidi nguvu and being manamke aka succumb to internal pressure. 2. With time naye Samia madaraka...
  16. Stephano Mgendanyi

    Dhamira ya Serikali ni Kujenga Barabara ya Ndala - Mwawaza kwa Kiwango cha Lami

    DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Aeleza Dhamira ya Rais Samia ya Kuboresha Utoaji wa Elimu Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kutoa fursa ya idadi kubwa ya wanafunzi kujiunga na elimu ya sekondari na...
  18. Bams

    Ni rahisi kuwakamata wauaji wa Marehemu Ali Kibao ikiwepo dhamira ya dhati na iwapo Polisi watatumia mbinu hii

    Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
  19. Lanlady

    MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
  20. Ayoub Sads

    Sababu za kushindwa kufikia dhamira yangu

    Wanachama wenzangu habari yenu, niko jambo linanitatiza hivyo nikapendelea nililete kwenu kwasababu hii ni kawaida na ndio dhumuni ya mtandao huu (JF), kushauriana pamoja kupeana hamasa katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo sikujihisi mpweke nikawa na imani kwamba hili tatizo langu nawezq...
Back
Top Bottom