dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

    Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

    Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni? Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏 Karibuni!
  3. JamiiForums Tanzania Bwana harusi aliyejiteka aachiwa kwa dhamana

    Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, aliyepotea muda mfupi baada ya harusi yake na baadae kukutwa kwa mganga wa Kienyeji Chakechake Pemba, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ameachiwa huru kwa dhamana. PIA SOMA - POLISI: Bwana harusi...
  4. JamiiForums Tanzania Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa dhamana ya Lil Durk

    Timu ya mawakili wa Lil Durk iliwasilisha ombi mahakamani, wakitaka rapa huyo apewe kifungo cha nyumbani. Timu hiyo ilitoa ofa ya dhamana yenye thamani ya $3.3 milioni (sawa na takriban Tsh bilioni 7.8), ambayo ilijumuisha: Nyumba mbili za Lil Durk zilizopo Georgia zenye thamani ya $2.3 milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

    Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe. Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
  7. JamiiForums Tanzania Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

    Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Waliokosa dhamana ni...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
  10. JamiiForums Tanzania Shusha nondo kuhusu T-Bills au dhamana za serikali za muda mfupi

    Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi. Ninachojua ni Mnada kama wa fedha! MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO!! #Bila-Nyinyi-Sitoboi
  11. JamiiForums Tanzania Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

    Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo, huku akisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi...
  12. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Leo, Jumatatu Oktoba 07.2024 Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhamana lililokuwa limewekwa na Jamhuri/serikali dhidi ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo, Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai), hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob apata dhamana baada ya kushikiliwa mahabusu kwa takriban siku 19

    Hakimu mkazi Mkuu Franco Kiswaga wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam anayesikiliza kesi hiyo anatarajiwa kusoma hukumu ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Boniface Jacob (Boni Yai). Ingawa mashtaka yanayomkabili yana dhamana, lakini tangu aliposomewa mashtakata...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  16. JamiiForums Tanzania UPDATE: Boniface Jacob kuendelea kusota rumande baada ya jeshi la Magereza kukosa usafiri wa kumfikisha Mahakamani Kisutu kusikiliza dhamana yake

    Hatima ya dhamana ya Boniface Jacob "Boni Yai," itajulikana leo, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai alikamatwa na kuletwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambapo alikabiliwa na mashitaka mawili...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ndio imebeba dhamana ya kudumisha amani au kuleta machafuko ndani ya Tanzania

    Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na utulivu. Utawala wenye kuzingatia ukatiba na misingi ya demokrasia ndio nguzo ya amani na utulivu...
  18. JamiiForums Tanzania Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  19. JamiiForums Tanzania Dhamana ya Boniface Jacob yadunda, aendelea kusota Rumande

    Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana. Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana...
  20. JamiiForums Tanzania Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135

    Rapa na mfanyabiashara ‘Diddy’ ameripotiwa kunyimwa dhamana baada ya kudai kuwa Hana hatia katika mashtaka ya kingono yanayomkabili na hivyo ataendelea kubaki rumande hadi pale kesi yake itakapoanza kusikilizwa. Imeelezwa kuwa Diddy alitoa ofa ya dola milioni 50 (Tsh bilioni 136+) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…