dewji

  1. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  2. JamiiForums Tanzania Wawekezaji (GSM & Mo Dewji) waheshimiwe!

    Wawekezaji waheshimiwe ! Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana. Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  4. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mo Dewji atunukiwa Ph.D ya heshima ktk Chuo Kikuu cha Georgetown

    21 May 2022 Mohammed Dewji to Graduates: Recognize the Power in Community Two decades ago when Mohammed Dewji (B’98) crossed the stage at Georgetown University’s commencement ceremony, he asked himself an important question – ‘is the world ready for me?’ In many ways, the answer was yes...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mo Dewji, Simba SC? Tanzania hamkuona post yangu mwezi uliopita kuhusu ubora wa Simba duniani?

    Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani. Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

    Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita. Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Japo ni mwana Simba SC kwa 100%, ila Mo Dewji nisikufiche Unatuchanganya mno wana Simba SC wenye Akili kwa Kauli zako zinazochanganya

    Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa Heshima Simba SC na Tajiri Mohammed Ghullum Dewji. Mo Dewji ni kwanini huwa unapenda sana Kukurupuka...
  10. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

    Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex
  11. M

    JamiiForums Tanzania GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siri nyuma ya pazia kwa Mo Dewji, baada ya kui-unfollow Simba, sasa ai-follow tena

    Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram. Jana, pia Mo ambaye ni Rais wa Heshima wa Simba aka-unfollow page ya klabu hiyo akibakisha ya Simba Queens...
  13. JamiiForums Tanzania Mo Dewji na safari ya kuwa Mwanahisa halisi wa simba sports club

    Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

    Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
  15. JamiiForums Tanzania Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika. Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana...
  16. JamiiForums Tanzania MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  17. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ni laghai?

    Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli! Je, Mo ni laghai?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Mo Dewji ni Tajiri, hatanii na kamwe msimfananishe na Tajiri wenu 'Samjo Samjo' GSM muwe mnaelewa na msibishe

    Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili. Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kata Funua Aliyopigwa Simba SC pale Kwa Mkapa na Makhirikhiri, Mo Dewji Alaumiwe?

    Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Bilioni 20 alizotoa mwekezaji MO Dewji kwenye club ya simba ni changa la macho?

    Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja mkubwa kuhusu bilioni 20 alizotoa mwekezaji Mo Dewji katika club yake hiyo ya simba. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…