Haina utofauti na UKAWA ambayo bado ilishindwa na hicho kichama cha Mafisadi CCM, hivyo siyo tu kuungana bali mikakati makini inahitajika kumnyanganya mtu tonge wakati na yeye ana njaa ni kipengele
Huyu Devotha mwenyewe kakimbia Chadema kwenda Chaumma alafu tena anataka waungane kwa nini...
Mgombea mwenza wa urais Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kikiingia madarakani kitafufua zao la kahawa Vunjo na Kilimanjaro kwa ujumla ili uchumi wa watu ukue.
Aidha amelaumu changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wa Kilimanjaro akisema imekuwa sababu...
Mgombea Mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema endapo chama hicho kitapata ridhaa ya kuunda Serikali, mikopo ya asilimia 10 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri haitatolewa kwa upendeleo.
Minja amesema hayo...
Uzi Maalum wa mijadala yote ya michakato ya ziara za kampeni za mgombea nafasi ya Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na Mgombea mwenza Devotha Minja.
----------------
Agosti 27, 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua...
Mtiania mwenza wa urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata lishe bora kupitia mpango wao wa “ubwabwa kwa wote”.
Mpango huo, amesema, unalenga kuondoa njaa na kupunguza magonjwa yanayohusiana...
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja, Agosti 1, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za CHAUMMA mkoani Morogoro...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni...
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.
Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli.
Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma...
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa...
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu.
Devotha aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu amesema inapaswa kila baada ya muda fulani mwanamke ajengewe uwezo kwa kufikia...
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja.
Lakini atumuoni wakati hili ni eneo lake la kiuongozi kwenye chama.
Je, Tundu Lissu amemtenga au bado Lissu ameshindwa...
"Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini.
Chanzo: Jambo TV
===
Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.