Hello bosses,
Natumai mu wazima, na wagonjwa Mungu awajalie afya njema.
Napitia mabadiliko makubwa maishani mwangu.
Nilijiunga na kampuni fulani ya logistics mwaka jana kabla sijamaliza chuo. At first maisha yalikuwa mazuri sana; salary na bonuses. Ila kadiri muda ulivyoenda employees tuliona...