deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LHRC: Kuongezeka kwa Deni la Taifa kunaweza kuongeza ukali wa maisha, gharama za uendeshaji wa Serikali zipunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo. Ili kupunguza makali hayo wanashauri "Ni maoni yetu kuwa , ni muhimu kwa Serikali kupunguza gharama za...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa 5 Trillion kutokana na kushuka Kwa thamani ya Tshs, Mwigulu una maono Gani?

    Salaam, Shalom!!! Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba amedai kuwa, deni la Taifa limeongezeka Kwa zaidi ya Trilioni 5 kutokana na kuporomoka Kwa thamani ya Shilingi. Jambo Hilo Hilo la kuporomoka Kwa thamani ya pesa yetu ya kitanzania( Tshs) ndiyo Hasa inafilisi wafanyabiashara kariakoo na...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  5. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa ni giza tuendako

    DENI LA TAIFA NA GIZA TUENDAKO 1961 - 1985 Chini ya utawala wa Mwl. Nyerere (RIP) aliyetawala kwa takriban miaka 25, pamoja na vita ya mwaka 1978-1979 na Idi Amini wa Uganda, mpaka anang'atuka madarakani Deni la Taifa lilikuwa trilioni 3 pekee. 1985 - 1995 Kwenye utawala wa Ali Hassan Mwinyi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la Kukabiliana na Ongezeko la Deni la Taifa

    Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya ongezeko la deni la taifa hadi kufikia Trilioni 91.7. Huku deni likiongezeka kwa kasi kila siku, maendeleo yanayoonekana ni kidogo mno. Hii imeleta wasiwasi mkubwa miongoni mwa wananchi na wataalamu wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madeni: Tanzania tuko salama, Kenya iko Kwenye hatari ya kushindwa kulipa Senegal, Nigeria na Malawi zinaheshimika!

    Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
  8. JamiiForums Tanzania Ukuaji holela wa Deni la Taifa unatupa picha gani uko tuendako?

    Unapokopa unawekeza katika miradi inayozalisha zaidi kuliko ile gharama ya kukopa(cost of borrowing), miradi mikubwa tuliyoiona ni ile iliyoanzishwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli, miradi wa SGR, Bwawa la Umeme la Julius Nyerere, mradi wa mabasi ya mwendokasi, mradi wa barabara njia nane...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Bado tuko imara kukopa kuliko nchi nyingine za Africa Mashariki na SADC

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC. Mwigulu amesema hayo akisoma hotuba ya bajeti bungeni ambapo amesema deni lililopo limefanya mambo mengi mazuri ikiwemo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

    Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka. Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea...
  11. JamiiForums Tanzania Najaribu kuwaza, kwa kasi hii ukubwa wa Deni la Taifa 2030 litakuwaje? Je, kuna haja ya kuhofu?

    Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze 1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi. 2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki? Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi? ======== Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila...
  12. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa kufikia trilioni 91, nchi imekaribia kuuzwa?

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

    Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia takribani Shilingi Trilioni 91.7. Deni hilo linajumuiaha deni la ndani na deni la nje. Amesema ongezeko...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia anaelekea kumpiku Kikwete kwa kusafiri nje ya nchi

    Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania 10% ya mikopo ya nchi yetu huwa anachukua nani?

    Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho. Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

    David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa. Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na laana ya mikopo

    Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina, Lebanon, Venezuela. Tena kwa kasi hii, hilo laweza kutokea ndani ya miaka mitano ijayo. Kuwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania "Africa-Korea Summit" Korea Kusini Yasaini Mikataba 50 na Nchi za Afrika, Yaahidi Kutoa Misaada ya Dola Bilioni 10

    Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili huku akisema Nchi yake itaongeza Msaada Kwa Nchi za Afrika Hadi Dola Bilioni 10 ndani ya miaka 5...
  19. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

    "If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
  20. JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. --- Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…