deni la serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Foffana

    Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  2. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Niwakumbushe tu, Deni la Serikali ya Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP

    Niwakumbushe tu , Deni la Serikali la Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP kiwango ambacho bado kinachukuliwa kuwa himilivu kimataifa endapo ukuaji wa uchumi utaendelea kuwa thabiti. Ukuwaji wa uchumi unaendana na utulivu wa kisiasa. Hata hivyo, kukosekana kwa...
  3. J

    Kwanini wajasiriamali wamchague Samia: Mikopo yao kabla hajawa Rais ilikuwa trilioni 7 tu leo mikopo hii imefikia trilioni 14 sawa na ongezeko la 200%

    Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia jumla ya TZS 14Trilioni sawa na ongezeko la TZS7Trilioni au 200% pia ni ongezeko la mara mbili...
  4. Waufukweni

    Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa. Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
  5. Just Pray

    Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwa wananchi wanyonge, zaidi ya robo ya fedha wananchi wanazokusanya, zinaenda kulipa madeni

    "Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya. Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
  6. The Supreme Conqueror

    Kuhusu mikopo ya Tanzania, Hayati Magufuli na Ndugai walikuwa mbele ya muda

    Tazama hii video ya Wazawa.
  7. W

    Jerry Slaa: Deni la Serikali linavumilika

    Waziri anatumia hadi mfano wa deni la songesha ili kuelezea deni la serikali, hahah patam hapo. "Acha nianzie na songesha mana mimi huwa nasongesha, nini maana ya kukopa? Kukopa ni pale ambapo una matumizi ambayo ni makubwa ama ni ya ghafla kutokana na kipato chako, kwahiyo unaamua kusongesha...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu wa NEC Zanzibar: Serikali zetu hazitohofia kukopa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali zake hazitohofia wala kuacha kukopa kwenye Taasisi za Kimataifa za Fedha na Benki ya Dunia kwa minajili ya kutekeleza shughuli za miradi na ujenzi wa miundombinu . Pia chama hicho kimeahidi kitasimamia ahadi na sera za msingi kwa kumaliza changamoto...
  9. R

    Kama pesa zote za miradi ni za Rais Samia, sasa hili deni la taifa ni la Serikali au deni la Rais Samia?

    Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia. Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
  10. Waufukweni

    CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la...
  11. Mindyou

    Deni la Serikali hapa Tanzania ni kama kurithishana uchawi. Ipitishwe sheria Rais yeyote awe na ukomo wa kukopa!

    Wakuu, Ifikie muda tuache ku-judge wanasiasa kwa kutujengea vyoo na mabarabara. Unakuta mwanasiasa anaenda kukopa World Bank na IMF alafu anaenda kujenga shule na zahanati Kibaya zaidi anaenda kukopa hela ambayo mpaka anamaliza muda wake wa uonogozi hawezi kuilipa. Hivi kuna kitu rahisi...
  12. Mindyou

    Deni la serikali lafikia Tsh. Trilioni 96.8, limeongezeka kwa 18.8% na bado ni himilivu!

    Wakuu, Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa...
  13. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

    Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 . "katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
  14. Mtoa Taarifa

    Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  15. Mtoa Taarifa

    Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
  16. Dalton elijah

    Deni la Serikali ya Tanzania Lafikia Trilioni 98

    Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na...
  17. Superbug

    Je, fomu ya kupokea kiwanja ili uanze kulipa deni la serikali ina-expire baada ya muda gani tangu kukabidhiwa?

    Umeenda manispaa umepimiwa kiwanja kwenye mradi na hakina mgogoro baada ya hapo unakabidhiwa fomu ya kupokea kiwanja ambayo ina details zifuatazo: 1. Jina la mmiliki 2. Ukubwa kwa sqm 3. Mahali kilipo (block ABC) 4. Aina ya matumizi kama ni makazi pekee au makazi na biashara. Na mwisho pale...
  18. Magazetini

    Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  19. DR Mambo Jambo

    Kwanini Deni la Serikali limepaa kwa mwezi mmoja (Juni 2024) kwa zaidi ya Trilioni 17? Tatizo ni nini?

    Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu. MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion...
  20. Nyanda Banka

    Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

    Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25 Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7 Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi LET'S GO
Back
Top Bottom