demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze Afrika kati ya demokrasia na maendeleo?

    Na Elius Ndabila 0768239284 Katika mapitio yangu mengi nimeona kuna malalamiko na mijadala mingi juu ya kipi ni muhimu kati ya demokrasia au maendeleo? Wapo wanaodhani demokrasia ni mhimu kuliko maendeleo na wapo wanaodhani maendeleo ni mhimu kuliko demokrasia. Hii imekuwa ni changamoto kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Namuona Mzee Mwinyi kama Baba wa Demokrasia nchini kwani mwaka 1995 kila "aliyestahili" kushinda alishinda bila figisu

    Mwaka 1995 wakati Mzee Mwinyi anamaliza muda wake wa kikatiba kama Rais wa Tanzania alituachia zawadi ya viongozi imara sana. Kiukweli katika uchaguzi ule wa kwanza wa vyama vingi kila aliyestahili kushinda kwa haki alishinda iwe ni kutoka CCM na hata upinzani. Ndio tukawapata akina Dr Slaa...
  3. JamiiForums Tanzania Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

  4. JamiiForums Tanzania Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

    Kila Taifa ni lazima liwe na maono yake. Kila Taifa ni lazima lijue linapoelekea. Kila Taifa ni lazima liwe na muongozo na Dira. Matumaini ya Taifa lolote huwa mikononi mwa Viongozi wao ndio wanaamua baadae na historia ya Taifa. Tatizo tulilonalo ni viongozi walikosa ambition kwa Taifa hili...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za matukio sio japo zinakutoa kwa muda! Wapi shangazi?

    Popote ulipo Shangazi kipenzi cha watu nakusalimu na kukujulia hali. Kwanza unisamehe shangazi kwa uandishi wangu mbovu unao chosha wasomaji. Hii yote sababu nilimkosa kwenye simu anko Pascal Mayalla anipe 'shoti kozi' ya uandishi. Nauliza mbona kimya kingi na huku matukio uliyo kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Demokrasia yetu: Mjadala wa wazi kuhusu Demokrasia na nafasi ya wananchi katika kutoa maoni yao nchini Tanzania

    Serikali ya Awamu ya 5 ya Tanzania imefanya mambo mengi yanayostahiki pongezi kutoka kwa wananchi ikiwemo Kupunguza Rushwa, Kuboresha mbinu za ukusanyaji wa kodi, kuoongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima Serikalini. Licha ya hayo yote kumekuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…