Friends and Our Enemies,
Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao.
Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao...
UTANGULIZI
Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa matukio hayo wakiwa hawapatikani yamekua matukio ya mfuatano na ya kawaida kabisa. Yalishamiri sana...
Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile,
#A perfect democracy is not for Africa.
# wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka...
Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana asiye na kosa, na hivyo kuamsha hasira za waandamanaji.
Vitendo zaidi vya uhalifu vimefanywa na...
Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala.
Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake. Nchi ilikuwa kama mali yao binafsi na waliitunza kama mali binafsi.
Wafalme wengi walikuwa makini...
Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano.
Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni.
Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
Salaam, Shalom!!
Nauliza tu,
Hawa waliotuletea DEMOKRASIA mataifa ambayo Bado tunajitafuta yalilenga nini?
Mbona wao walipokuwa wanajenga Uchumi wao, miaka mingi iliyopita mbona waliotumia mijeredi?
Yaani mtoto asiyetaka shule, mzazi ampe mtoto huyo DEMOKRASIA na uhuru Ili iweje?
DEMOKRASIA...
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.
Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.
Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna.
Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu halijamaliza miaka kumi hamuwezi kufurukuta, na ukizingatia kwamba katiba yetu na mifumo yetu...
Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia
Wahusika Wakuu
1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM)
2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha Umoja wa Wazalendo (UW)
3.Juma Kiboko - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa
4.Nadia Juma...
1.Utangulizi
Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali.
MALENGO YA DEMOKRASIA.
1.Maadili ya uhuru...
Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala.
Wananchi...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥
Ahsanteni.
Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana.
Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao.
Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...