ded

  1. JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Mungu akubariki, umeona ugonjwa ulioko moshi Manispaa, RC na DED wasipoondolewa unayoyasema ni sawa na bure!

    Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo la kudumu. Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea...
  3. JamiiForums Tanzania DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hatulii ofisini na hakaimishi majukumu, tunasota kupata huduma yake

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu. Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

    Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa. Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
  6. JamiiForums Tanzania DED Mbeya DC: Namshukuru Rais Samia kutoa fursa ya ajira 259 kati ya Januari - Mei 2026

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026. Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DED wa Mbeya DC anatumia Madaraka yake vibaya kukandamiza Watumishi

    Hapa kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), Mkurugenzi Mtendaji wetu, Erica Yegella ana changamoto kadhaa kuhusu matumizi ya ofisi yake: 1. Hakufanya kikao na Baraza la Wafanyakazi kabla ya Bajeti Kila mwanzoni mwa mwaka kunatakiwa kufanyike Baraza la Wafanyakazi kwaajili ya kupitisha...
  8. JamiiForums Tanzania DED: Nimeunda timu kuchunguza madai ya michezo michafu katika Machinjio ya Halmashauri ya Tunduma

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa maadili na usafi katika machinjio ya mji huo zilizosambaa hivi karibuni kupitia video mitandaoni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Mtwara Manispaa tunalia na posho za safari, DED yuko bize na safari

    Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana. Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za juu zichunguze utendaji kazi wa DED wa Nzega Mjini. Ananyanyasa watumishi

    Mkurugenzi wa Nzega Mji aangaliwe, maana ananyanyasa watumishi na anatumia Madaraka yake vibaya dhidi ya watu wake wa chini. Kuna watumishi kadhaa ambao uwezo wao ni mkubwa wamelazimika kuondoka kwa kuomba uhamisho wakikwepa mazingira ambayo siyo rafiki.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

    Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
  13. JamiiForums Tanzania DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DED Lushoto tusaidie tutoke Chama cha Walimu (CWT)

    ....
  15. JamiiForums Tanzania DED Mkalama: Wizara ya Nishati endeleeni kusimamia ufanisi wa miradi ya nishati

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia vyema Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa ufanisi na hivyo kuleta maendeleo kwa Wananchi. Messos amesema hayo Agosti 6, 2025 wakati...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongwa: Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati, DED asema mwaka huu ni wa uchaguzi "Msiripoti"

    Katika hali inayotia simanzi, Jambo TV imeinasa video inayoonesha kundi kubwa la wanafunzi wa Shule ya Msingi Kinangali, Kata ya Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakisoma wakiwa wamekaa chini bila madawati – mazingira ambayo ni kinyume na mazingira bora ya ujifunzaji hususan kwa kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  19. JamiiForums Tanzania DED Millao aahidi kugharamikia matibabu ya Abuyasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Shaban Millao mara baada ya kupokea barua ya kuhitajika kwa msaada wa mtoto Abuyasili Abdi Iddy mara moja ameacha kazi zote ofisini na kufika katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu ili kufahamu shida na utatuzi wake...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…