dc msando

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwandishi wa habari wa Ayo Tv afutiwa mashtaka ya uhaini na DPP

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru na kuwafutia mashtaka ya uhaini washtakiwa wanne akiwemo Mwandishi wa Habari wa Ayo Tv, Godfrey Ng’omba. Wengine walioachiwa ni watoto watatu wa kiume wenye umri wa miaka 13, 16 na 17 (waliokuwa mahabusu ya watoto) ambao kwa pamoja walikuwa...
  2. Mafyangula

    GE2025 DC Msando: Oktoba 29 imetangazwa kuwa siku ya uchaguzi, hivyo ni marufuku kuandamana kwa kigezo cha kudai haki

    Huyu jamaa naye anamikwara sana! ==================== Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, amesema serikali haitatoa kibali chochote cha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa siku hiyo imetengwa mahsusi kwa ajili ya wananchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi...
  3. The Palm Beach

    Askofu Gwajima: Asema, DC Msando anafanya brainwashing. Hana lolote analoweza kufanya kufunguliwa kwa kanisa!!

    https://youtu.be/bcL6AEYmMXA?si=u4EQo7Wo1DtZr7c7 Kwa ufupi kabisa Askofu Gwajima anasema: 👉 DC Albert Msando anatuita twende ofisini kwake kufanya nini wakati aliyeandika barua ya kufunga kanisa ni Msajili wa vyama vya kiraia...? 👉Na je, Ina maana huyu DC Msando hajui kuwa kuna kesi mahakamani...
  4. Mganguzi

    DC Msando anajaribu kutaka kuwa Mungu wa Ubungo!? Anataka kuwa kama Sabaya wa wilaya ya Hai! Msando anahisi atakuwa kiongozi milele yote

    Naanza kupata hisia kwamba anaepeleka askari Kila jumapili kuwasaka waumini wa ufufuo na uzima mabarabarani na makanisani ni msando ! Waziri mkuu ,ama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kufanya ujinga na utoto wa aina hiyo ! .rais hawezi kutoa maagizo au order za kijinga kama hizi...
  5. R

    Kuna mtu ameleewa alichokiongea DC Msando?

    Salaam! Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana, Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana . Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda watu wote na dini zote na Imani zote, Kwamba serikali haina mamlaka kuingilia uhuru wa watu kuabudu...
  6. Parabolic

    DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  7. Roving Journalist

    Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
  8. Replica

    DC Msando adai atakata rufaa kuamriwa kulipa fidia ya 175M, asema mdai amemshtaki Msando badala ya kampuni yake

    Mahakama Kuu iliwaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji. Albert Msando, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, yeye na...
  9. GENTAMYCINE

    Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
Back
Top Bottom