dawasco

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kaka kikatiba

    JamiiForums Tanzania DAWASCO ina aina tofauti za mita au mita zote zinafanana kwa matumizi?

    Nimekua nikipata tatizo la bili ya maji kuongezeka sana kias kwamba ninapata waswas maana tangu nibadilishiwe mita iliyokuwa imefubaa haisomeki vzuri, sahiz bili ya maji inakuja kubwa mpaka natamani irudishwe ya awali. Kama kuna mtu ana uelewa anijuze hizi mita zina utofauti upi isijekuwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

    Habari wadau Naona tumerudi enz zile. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya Ubungo naomba anisaidie
  3. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania DAWASCO wanakwamisha ilani

    DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025. Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi. **** Na OPRAS anajaza kila Quarter. NB: Enzi za Mwamba...
  4. T

    JamiiForums Tanzania DAWASCO mna la kujifunza, maji ni muhimu sana katika jamii

    DAWASA/DAWASCO ni shirika la hivyo kabisa Sijui kama wanajua kuwa maji ni muhimu saana kwenye jamii. Nisizunguke saana maana tatizo la maji ni la nchi nzima na ni ujinga wa viongozi wetu. Ujinga wa DAWASCO ni 1. Maji yakiwa yanavuja mtaani kwako badala ya kurekebisha wanakata bomba na kukunja...
  5. Hajto

    JamiiForums Tanzania Ajira za Dawasco

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naomba kuuliza nimeona sehemu nyingi kuna branch mpya za idara ya maji Dawasco na soon kufunguliwa, ningependa kujua juu ya taratibu zao juu ya upatikanaji wa ajira ni Dawasco
  6. lunatoc

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji mulika michezo michafu DAWASCO Kimara

    Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji. Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela? Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba...
Back
Top Bottom