Kutokana na uhaba wa maji jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetangaza ratiba ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa mpango wa dharura kwa wakazi wa jiji hilo, hatua inayolenga kuhakikisha huduma hiyo inapatikana kwa usawa wakati wa changamoto za uzalishaji...