Regarding the highly anticipated D9 protests, The Tanzania Police Force has affirmed that the country is peaceful and secure, refuting online reports of protests breaking out in various regions.
Police spokesperson David Misime stated that the overall security situation is stable, with security...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba.
Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
Msemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga kura lakini baada ya kumaliza tukio hilo utachukuliwa na jeshi hilo kwa hatua zaidi.
Amesema...
"Na niwaambie hata hao wametengeneza akaunti zao bandia, feki. Wanafikiri wamejificha sana huwezi kujificha kwenye hizi simu. Hivi vifaa vya kieletroniki vimefanya hata siri zetu ziwe hadharani.
Wengine tuna picha zao tukitembea mimi kwenye gari pale ninazo na nikiona mtu anaangalia hivi huyu...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura bila hofu kwani kila hatua ya mchakato imetiliwa mkazo katika kulinda usalama...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema:
“Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha Sheria watachukuliwa hatua, Jeshi la Polisi tupo imara na tupo tayari kuwalinda Watanzania wema kwa...
Jeshi la Polisi kupitia Msemaji wake DCP David Misime amesema wamesambaza askari zaidi ya 3,900 Tanzania Bara na 388 Zanzibar ili kutoa elimu ya Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii.
Soma pia > DCP Misime: Serikali imetuwezesha vifaa vya kuwashughulikia wanaohamasisha uhalifu
Amesema wazazi...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, amesema kuwa Serikali imeviwezesha vyombo vya ulinzi na usalama vifaa vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na watu wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya uhalifu nchini.
Soma: DCP Misime: Tuwakemee...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania kuwa watulivu na kuepuka kuchochea vurugu au fujo siku ya kupiga kura, Oktoba 29. Ametoa tahadhari kwa wote wanaopanga kuvuruga amani, akisisitiza kuwa hata kama mgombea wako hajashinda, ni muhimu...
Akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya hoja cha ITV Oktoba 9, 2025 msemaji wa jeshi la Polisi nchini David Misime amekuwa kuwa katika kipindi cha uchaguzi na mchakato wake kunaendelea vizuri na kwa ujumla hali ya nchi iko vizuri na usalama wakutosha.
Kwa lugha Rahisi msemaji yeye haoni...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
Wakuu,
Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa kuna baadhi ya watu hutumia mitandao ya kijamii kujinufaisha kwa kuchochea vurugu ili kujineemisha
"Vijana mkumbuke baadhi ya wahalifu wamebaini kwamba kutokana na mitandao hiyo ya nje wakianzisha akaunti zao...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu.
Ameongeza...
Viongozi wa dini wametakiwa kuendelea kuelimisha na kusisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii hasa kwa vijana ili kuhakikisha inatumiwa katika maslahi ya maendeleo ya Taifa.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa jeshi la Polisi David Misime wakati wa Mkutano Mkuu wa 54 wa Jumuiya ya...
abduction: the action of taking someone away by force or deception.
Kwa definition hiyo, mnachokifanya ni KUTEKA WATU. kama hakuna utekaji, mpigie simu aje, au mkamateni wakiwepo wanaomhusu huyo mtuhumiwa wenu such as wakili wake, ndugu anayemuamini and the like!
Short of that ni UTEKAJI
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime akizungumza katika Kongamano la Wanahabari, Jijini Dar es Salaam, Juni 19, 2024 anaelezea: Jukumu letu ni kulinda mali za Watu na mali zao, wakiwemo Waandishi wa Habari, pamoja na hivyo muhimu ni kufuata Sheria zinazoelekeza.
Kuna miongozo na Kanuni juu...
Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo.
Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.