darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania HOJA Mwanafunzi anayemaliza darasa la Saba akapata ufaulu wa "A" huyu mtoto ni nyara ya Taifa asipangwe shule za kata mnadumaza vipaji nchini

    Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za kata hii ni kudumaza vipaji vya watoto nchini na ni hujuma kwa maendeleo ya elimu nchini Huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Utawala uliofitinika, wabunge wa darasa la Saba wanapigana hadharani. Muhogo ni muhogo tu hata ukautia nazi, utabaki Muhogo

    Like mother like son, wanapigana hadharani kama wameelaaniwa. Na bado wataendelea kuwa maofisa wa Umma!
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kuku akasababisha kifo kwa binadamu? Mtoto afariki baada ya kudonolewa na kuku, akitoka kwenye mahafali ya darasa la saba

    Wakuu hivi inawezekanaje kuku kumsababishia kifo mtu kwa kumdonoa tu? Au kuna mchezo mchafu umefanyika hapa? === Mamia ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejitokeza kuuzika mwili wa mtoto Josiah Benjamin Makelo (12) aliyefariki dunia jana kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge kigoma Mjini (CCM), Baba Levo asema aliishia darasa la saba ila ataanza QT mwakani (2026)

    Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD. == Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo...
  7. JamiiForums Tanzania Darasa la Saba kufanya mtihani kesho, unakumbuka nini ulipokuwa unafanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi?

    Wanafunzi 1,172,279 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, uliopangwa kufanyika kesho na kesho kutwa nchini, wakiwamo wavulana 535,138 na wasichana 637,141. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 9, 2025, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani...
  8. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B Pia elimu ya Mbunge wa Geita mjini bwana Chacha Wambura aka Waja Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  10. JamiiForums Tanzania Pascal Lutandula mhitimu darasa la saba aongoza Chato kusini,Takukuru wamuogopa,amwaga rushwa adharani,adai ametumwa na mkuu

    Vijana tafuteni hela,money can buy anything Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu Mpaka muda huu...
  11. JamiiForums Tanzania NadhaniJF kunawatoto hadi wa darasa la saba, nao huanzisha nyuzi zao humu

    Habari njema sana kwa wana JF wote. Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa. Twende kwenye maada hapo chini. HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Elimu ya darasa la saba inatosha kwenye biashara za uchuuzi, sioni haja ya kusomea hadi chuo wakati kuna mabilionea wengi std 7

    Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k. Nunua chupi 200 uza 300 faida 100 Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000 nunua simu elfu 70 uza laki 2 Biashara...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu

    Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
  14. JamiiForums Tanzania Darasa la saba ni elimu ndogo sana

    Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge wa darasa la saba , hawana uwezo wowote wa kuelewa mambo ya nchi wasiruhusiwe kuwepo Bungeni

    Wakuu . Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni . Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma wewe darasa la saba ila hufahamu kitu. Jifunze kwa wenzetu

    Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi. Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM. Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioishia darasa la saba wapewe maua yao, nje ya kujizolea points za kudumu kwenye ndoa, wanaongoza pia kuwa tayari kuzaa watoto 4 au zaidi

    Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili. Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi. Wanawake wengi sikuhizi...
  18. JamiiForums Tanzania Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
  19. JamiiForums Tanzania Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

    Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno Elimu huongeza busara Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu? Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kurudisha mikononi mwangu kamusi iliyoibwa na mwanafunzi aliyenizidi miaka kumi na moja nikiwa Darasa la Saba

    Technical error.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…