daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

    Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57% Chanzo: Star tv ---- Na Mwandishi wetu, Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
  2. Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

    Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI. MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato. Nimemaliza, acha...
  3. Je, unafahamu maajabu yaliyokuwa yakitokea katika daraja la Mto Kirumi?

    Kama ulikua hujui kuwa Duniani kuna Daraja ambalo wakandarasi liliwatoa jasho na wengine kukimbia wacha nikufamishe. Daraja hilo lipo barani Afrika upande wa Afrika Mashariki nchini TANZANIA, Ndio, lipo TANZANIA mkoa wa MARA wilaya ya BUTIAMA kata ya BUKABWA Kijiji kiitwacho KIRUMI. Daraja...
  4. Daraja baina ya walionacho na wasio nacho.

    Ishu ipo kwenye gap lililopo kwa Sasa,, Ikiwa makundi kadhaa yanayo wajibika karibu sawa kwenye jamii, kundi moja linapata malipo ya zaidi ya 13mil na marupurupu lukuki. Hawa walio chini watajihisi vipi,, Wataiona wapi thamani yao. Hii haimaanishi kumshusha aliye juu,, bali na hawa walio...
  5. T

    Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
  6. Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  7. Himars zailipua daraja muhimu sana kwa Urusi

    Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo...... A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a Ukrainian counteroffensive to recapture the southern region from Russia. The Antonovsky bridge...
  8. Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Hii hapa Pakuase flyover. Na hili hapa daraja la Kijazi Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
  9. T

    Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  10. Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  11. Msaada: Any idea ya Written Interview Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II?

    Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written) Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona...
  12. Msanifu Lugha Daraja II (Nafasi 1) BAKITA

    POST MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali; ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
  13. Mchunguzi Lugha Daraja la II - 1 Post

    POST MCHUNGUZI LUGHA DARAJA LA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika; ii. Kutoa mapendekezo ya...
  14. Afisa Ugavi Daraja la II Bunge la Tanzania - 2 Posts

    POST AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST EMPLOYER Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements); ii. Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa...
  15. Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge Daraja la II - 6 Posts

    EMPLOYER: Parliament of Tanzania APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti; ii. Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge; iii. Kufanya uhariri wa awali wa nakala za...
  16. Kero ya daraja la Nyiburu kwa wakazi wa Chanika

    Daraja la Nyiburu ni daraja pekee ambalo limekua kero kwa wakazi wa Chanika. Madiwani wapo, wabunge wapo hivi inahitajika nin cha ziada ambacho kama wakazi tunaweza kuelezwa mkandarasi alipewa muda gani kumaliza hilo daraja? Sasa ni zaidi ya miwili kama wanajenga flyover kweli? Daraja la...
  17. H

    Naomba ufafanuzi kuhusu Afisa Hesabu Daraja la II (Account Officer II)

    Naomba ufafanuzi kuhusu sifa Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
  18. Diaspora kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ilikuwa ahadi ya uongo?

    Lini mnatekeleza hii ahadi ndugu zangu wa huko ng'ambo. Au mlitufunga kamba? HILI MLIAHIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA ====== Pia soma: - Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara - Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja...
  19. Rais Samia apongeza daraja la Tanzanite kutumika kuonesha mpira

    Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani. ======= Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu...
  20. Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

    Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya UEFA limekaaje kitaalam mbona kama haliko sawa hivi. Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho. Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya anasa. Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…