dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hospital za Dar wanajua kweli kuiba

    Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria Je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu?
  2. JamiiForums Tanzania Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam. Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nauli ya Dar to Njombe

    Wakuu nataka kwenda njombe, naombeni kujua nauli ni sh ngapi kwa MTU anayetokea Dar. Na vipi, nauli za magari/usafiri Wa mchana ni Sawa na nauli ya usafiri Wa usiku? Na pia kama kuna yeyote anayejua magari ya usiku Dar to njombe (magari ya kawaida, sio luxury) basi naomba aniambie ni yapi...
  4. JamiiForums Tanzania Mkoa nitakaoweza kutoboa kimaisha kirahisi kati ya Dar na Mwanza nikiwa na mshahara wa laki 5 na point

    Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: BAKWATA yahimiza ushirikiano baada ya uchaguzi

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani. Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

    Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
  7. JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA nchi nzima kuwa wazi Jumamosi ya tarehe 30.11.2024

  8. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania ATC Anzisheni haraka route ya Dar to JFK New York USA

    Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
  11. JamiiForums Tanzania Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

    Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta music academy kwa hapa dar

    Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

    Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho. Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Amos Makalla apiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni za uchaguzi huu ni kama unasikiliza taarabu, zimejaa mipasho mwanzo mwisho!

    Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
  17. JamiiForums Tanzania Nikweli yasemwayo kuwa wanaume wa Dar hawawezi kumenya muwa Otherwise watengenezewe juice?

    Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani. Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani. Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba kwenye lile shamba huwa kuna...
  18. JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Albert Chalamila hakuna Kiingereza cha Thank you for Organization bali kuna Kiingereza sahihi cha Thank you for Organizing

    Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi (Teaching / Tutorial Assistant) na kusema pia kuwa una Exposure Kubwa na hata huko Ulaya / Marekani...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Kitaa Fest yahitimishwa kwa kishindo jijini Dar

    Mpishi maarufu kutoka Kenya, Dennis Ombachi akimuelekeza Jonathan Jooste, Kaimu Meneja Mkuu wa Coca-Cola Kwanza namna ya kupika Chicken wings wakati wa hafla ya kufunga mwaka la Kitaa Food Fest lililofanyika siku ya jumamosi jijini Dar. Dar es Salaam, Novemba 24, 2024. Tamasha la Chakula la...
  20. JamiiForums Tanzania Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…