daniel chongolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Sekretarieti ya CCM yagonga hodi kwa Dkt. Shein Zanzibar

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Cde Daniel Chongolo akiongozana na wajumbe wa Sekretariet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamewasili Zanzibar Jumapili 4 Julai 2021 kwa ziara ya kikazi ya Siku mbili. Mara baada ya mapokezi mafupi katika bandari ya Malindi Cde Chongolo na ujumbe wake walifika...
  2. Leak

    Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  3. Baraka Mina

    Dodoma: Katibu Mkuu CCM akutana na Katibu Mkuu wa CNDD - FDD cha Burundi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma. Katika...
  4. Baraka Mina

    Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo akutana na kufanya mazungumzo mzee Pius Msekwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi kukitumikia, kukisimamia na kukiimarisha zaidi Chama Cha Mapinduzi. Chongolo amemhakikishia Mzee Msekwa...
  5. Baraka Mina

    Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo kufanya mkutano na Waandishi wa Habari

    Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
  6. K

    Daniel Chongolo, anza na haya mambo ili kuepuka usaliti wa Bashiru

    Wanabodi, hili andiko ni kutoka kwa Mwandishi Nguli Bollen Ngetti FaceBook page yake. Naisukuma kwenu. _____________________ Daniel Chongolo, anza na haya kuepuka usaliti wa Bashiru Na Bollen Ngetti KWAMBA Katibu Mkuu mpya wa CCM Ndugu Daniel Chongolo ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo, halina...
  7. technically

    Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

    Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri. PIA SOMA: Daniel Chongolo apendekezwa kuwa Katibu Mkuu CCM
  8. TASK FORCE

    Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

    DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho. Chama kimempitisha kwa kauli moja. Hatimaye Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejaza nafasi ya ukatibu mkuu...
Back
Top Bottom