dampo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  2. USSR

    Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  3. A

    KERO Makaburi ya Mtaa wa 'Msamaria' Mkoani Dodoma yamegeuzwa Dampo

    Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo. Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi. Tumejaribu kufikisha...
  4. M

    IFM Mwanza yageuka dampo la degree za insurance and risk management,

    Bachelor of Accounting - 81 Bachelor of Banking and Finance - 103 Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553 Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni. Kwa...
  5. N

    Sheli ya hapa dampo Arusha inaungua muda huu

    Habari, naona moshi mzito kama kule Gaza nikiwa umbali wa kilomita 1 nikapiga simu kuuliza kumbe ni sheli ya hapa dampo inaungua Kama kuna aliyeko kwenye eneo hilo tunaomba atuhabarishe kwa picha za karibu
  6. JanguKamaJangu

    KERO Responded Eneo la Tegeta - Kwa ndevu uchafu unarundikwa eneo la barabara kama dampo, wasimamizi wako wapi?

    Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
  7. M

    KERO Dampo lililopo Kinzudi – Salasala, linahatarisha afya za Wakazi wa maeneo hayo

    Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani. Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo wakazi wa hapo waliiomba Manispaa ya Kinondoni wawe wanatupa taka hapo kwa nia ya kuzuia mmomonyoko...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    Msitu wa Kongowe wawa Dampo ya maiti, Idadi kubwa ya Maiti za vijana zaongozwa kuokotwa,Wengine wazikwa huko huko bila kutambulika

    Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa vijana kuwa kundi kubwa la hizo maiti zinazookotwa. Kulingana na ushahidi wake mwenyewe mara nyingine...
  9. Dalton elijah

    KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

    Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo Lakini kwa sasa hali imeanza kubadilika kwa Baadhi ya wafanya Biashara kugeuza maeneo ya katikati ya...
  10. M

    Responded Dampo la Msufini hatimaye limesafishwa, mazingira sasa yamekuwa masafi

    Soko la Msufini lililopo eneo la Msufini katika Manispaa ya Singida hivi karibuni kulikuwa na changamoto ya uchafu katika sehemu ambayo ilifikia hatua ya kuitwa Dampo la Msufini. Dampo hilo hivi karibuni liliripotiwa kukithiri kwa uchafu ambapo wahusika hawakuwa wakichukua hatua ya kuzuia...
  11. M

    KERO Responded Manispaa ya Singida iangalie Dampo la Msufini, linatunzwa vibaya na ni hatari kwa Afya

    Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini. Kinachosikitisha ni dampo lililopo katikati ya eneo hili likiwa limezungukwa na biashara ikiwemo za vyakula, bucha...
  12. BigTall

    Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87. Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
  13. Mwanongwa

    DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  14. Waufukweni

    KERO Dampo lililopo Kilimahewa hapa Morogoro linatutesa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko. Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...
Back
Top Bottom