dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  2. JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  4. JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

    Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu. Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Sina dalili ya upendo kabisa

    Habari Wana JF Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika. Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa miamba eneo lenye mafuta ni dalili gani zinaonyesha chini kuna mafuta

    Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
  8. JamiiForums Tanzania Zijue dalili za kuvamiwa na mapepo

    Dalili za kuvamiwa na mapepo zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya mapepo na kiwango cha uvamizi. Kulingana na Biblia na mafundisho ya Kikristo, dalili zinaweza kuwa za kimwili, kiakili, kihisia, na kiroho. Nakutajia hapa baadhi ya dalili kuu: 1. Dalili za Kiroho: Chuki au upinzani mkali...
  9. JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

    -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu kumsikiliza mchungaji au sheikh zaidi ni dalili ya kukosa baba au kuwa na baba dhaifu

    MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio kiuchumi tuu Bali Kimwili, Kiroho na kiakili. Kama Baba unahitajika ujue mambo mengi Sana. Mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Dalili za kupotezea maeneo inayotawala M23

    Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo yanayosemekana kuwa mikononi mwa jeshi la Rwanda. Bidhaa zote kutoka maeneo hayo, zitatakiwa kulipa ushuru kama...
  12. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini: Kutopewa risiti ya malipo Kuambiwa sijanywa chai Majalada yana mavumbi Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati Kuahirishwa kesi mara kwa mara Kutopatiwa jalada kwa wakati Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi...
  14. JamiiForums Tanzania Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

    Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana. "Nalivua pendo by Mwasiti" ikawaburudishe https://youtu.be/izcxbUPTrUQ?si=hIdmOxxm9T1OTO0B
  15. JamiiForums Tanzania Kama una hizi dalili fahamu tu kuwa umelaaniwa

    Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa. Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse. Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula this is curse . Ukipata hela haukumbuki kufanya maendeleo this is curse . Una miaka mingi Ila akili...
  16. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za mwanamke kufika kileleni.

  17. JamiiForums Tanzania Ifamu ugonjwa wa Kiharusi (Stroke), Dalili na Matibabu:

    Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo. Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuambatana na Kitenge kwenye jogging siyo dalili njema kisiasa; hata DP world ilianza kama ubuyu

    DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia. Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
  19. JamiiForums Tanzania Dalili nane za kuonyesha unaishi kwenye malango yaliyofungwa (closed gates) katika ulimwengu wa roho

    ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸 1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION). Inawezekana ikawa kwenye ndoa,uchumi, biashara,uzao,afya,familia,uchumba,kazi,siasa,uongozi(utawala). Ukiona...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…