Salaam,
Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi.
Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo May 17, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino Mkoani Dodoma ambapo pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya...
Wakuu !
Habari zenu, siku ya leo hapa kwenye kata yetu nimeona majina ya wapiga kura Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani yamebandikwa.
Chakushangaza hata majina na sura za Marehemu waliokwisha fariki kabla ya uboreshaji wa taarifa za mpiga kura yapo kwenye orodha ya wapiga kura.
Kuna wazee...
Jokate Mwegelo amewataka Vijana ambao hawajiamdikisha kwenye daftari la Mpiga kura kwenda kujiandikisha ili waweze kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaowataka ili kuwakeletea maendeleo
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ameongoza kwa mfano kwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, baada ya kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo Machi 17, 2025...
Makarani wanaotuandikisha kwenye daftari la mpiga kura wawe na siri wanapouliza taarifa zetu binafsi kama vile mahali pa kuzaliwa, namba ya simu, mwaka wa kuzaliwa n.k
Karani anakuuliza mwaka wako wa kuzaliwa unamtajia halafu na yeye anaurudia kwa sauti kubwa ilhali watu wengine wapo kando hapo...
Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate haki hiyo ya msingi.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Machi 13, 2025 na Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya Manispaa akianzia Ofisi ya CCM Wilaya ya Morogoro Mjini na kufika kwenye Kata.
Mwenezi Zangina...
Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza Januari 29 hadi Februari 3,2025 Mkoani Lindi.
Uandikishaji huo kwa upande wa Manispaa ya Lindi ni kwa...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura, zoezi litakaloanza tarehe 12-18 Januari, 2025.
Pamoja na mambo mengine...
Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura linalotarajiwa kufanyika Februari 27, 2025.
Soma, Pia: Afisa...
Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye vilevi wakati wa zoezi la kuboresha Daftari la mpiga kura linalotarajiwa kuanza Desemba 27, 2024...
Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura .
Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika.
Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.ni aibu isiyo bebeka,ni aibu na fedheha ya kiwango cha juu sana.
Hivi inawezekana vipi kiongozi wa ngazi ya juu kama Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akimbie...
Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa serkali.
Jinsi kura zinvyoibwa kupitia daftari la mpiga kura: Unakuta kituo X waliojiandikisha...
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha.
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni ikisema daftari la lililotumika kuandikisha watu yamekusanywa na kupelekwa katika ofisi za jiji kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.