daftari la mpiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Mahakama Kuu Kanda ya Songea yatoa mafunzo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mahakimu wa Mkoa wa Ruvuma

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Huntlcub Ruhuwiko mjini Songea,yamefunguliwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutekeleza uboreshaji wa daftari la wapiga kura kisiwani Zanzibar kuanza Oktoba 7 hadi 13, 2024

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar litaanza tarehe 07 hadi 13 Oktoba 2024. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika Kisiwani Pemba, Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wakamilika rasmi mkoani Dodoma na Singida

    Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na kumalizika rasmi tarehe 01 Oktoba 2024. Zoezi hilo lilianza rasmi mwezi Julai katika mikoa ya Kigoma...
  4. Erythrocyte

    LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
  5. Blasio Kachuchu

    PreGE2025 Wapiga kura wapya 491,050 kuandikishwa Mara, Simiyu na Manyara

    Na Mwandishi wetu. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10 Septemba, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura wapya 491,050 wanatarajiwa kuandikishwa. Kwa mujibu wa makadirio...
  6. Ghiti Milimo

    PreGE2025 Vyama vyote ambavyo ni wapinzani wa CCM, hawawatendei haki wapenzi wao, Daftari la kudumu la Wapiga Kura

    Wakuu, heshima kwenu! Moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Shinyanga, kuanzia tarehe 21 August, 2024 mpaka tarehe 27 August, 2024...
  7. Mpwayungu Village

    PreGE2025 Waliochaguliwa kwenye kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura ni Walimu tupu

    Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Christina Mnzava Azindua Uandikisaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Wilayani Kahama

    MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WILAYANI KAHAMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava ameshiriki katika Uzinduzi wa Zoezi la Kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Wilaya ya Kahama Mkoa wa...
  9. L

    PreGE2025 CHADEMA mthibitishe Tundu Lissu kugombea Urais 2025 ili wapiga kura tujiandikishe kwenye daftari la kudumu

    Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena. Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri kuruhusu hata upinzani kuongoza nchi. Kwa mfumo huu wa uchaguzi naona Tundu Lissu ana uwezo wa...
  10. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
  11. Nyanda Banka

    Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura unaanza lini? Tulituma maombi ya kazi ila mpaka sasa kimya

    Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote. Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
  12. Tanki

    Zoezi la kuhakiki daftari la wapiga lishaanza? Nina shida na mmoja wa wahakiki

    Kitambulisho cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Nipo nafuatilia mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na pengine nikashindwa kupata mafao. So, nahitaji kukutana na hawa wahakiki wa daftari la wapiga kura Ili...
  13. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika: Siku za nyuma hivi karibuni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza nafasi ya kazi ya muda mfupi kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la...
Back
Top Bottom