dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
  2. Labani og

    Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

    Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake. Kwa kikosi hiki...
  3. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba Sports Club kuelekea mechi ya tarehe 8 Agosti 2024 dhidi ya Yanga

    1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo kupitia milango mingine mbali na ule wanaotakiwa kupitia wachezaji. Kuna mawasiliano huwa yanafanyika...
  4. Mkalukungone Mwamba

    KIkosi changu cha Yanga baada ya kutazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024

    Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024. Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi . Diarra Boka Yao Bacca Job Aucho Mudathiri Aziz Ki Pacome Max Mpia Prince Dube Mfumo 4-3-1 Taja...
  5. African businesses

    Hii siku ya wiki ya Mwananchi kuna kitu nimekiona

    Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya. Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani. Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia? Mwisho...
Back
Top Bottom