dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwandiga adai kanuni ya asili inaipa ushindi goli zisizopungua 4 klabu ya Simba katika mechi yake na Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Embu tuweke utani pembeni. Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu. Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  4. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

    Kwa wanaohusika huko Simba Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro. Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

    Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo. Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

    Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

    Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi. Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini? 1. Simba bado haijapata strikers wa...
  9. BINAGI BLOG-BMG

    JamiiForums Tanzania Simba mpya mbele ya Yanga Bora

    Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita. Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi kuifunga Yanga SC ambayo ni bora kwa sasa barani Afrika. Tazama hata magoli yaliyokataliwa, ni magoli...
  10. LAPSE RATE

    JamiiForums Tanzania Simba kanyimwa penalty halali

    Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty. Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Timu inakimbia hovyo uwanjani, Mo atuachie timu yetu Ong bak aondoke

    Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi. Soma Pia: FULL...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

    Mechi ya derby ya Leo Yanga tupo kama tumecheza na Namungo Simba tumewafunga sana, yaani huu mwaka wa 4 mnakuja kwenye mechi kama under dog🐕 Derby hauvutii kabisa, Simba haina wachezaji wazuri Wazee wa ubaya ubwela mnayumba. Mara MUKWALA- ni striker mrefu kuliko goli kumbe mbumbumbu...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  15. chongoe

    JamiiForums Tanzania Simba 3 yanga 1, ikienda kinyume nipigwe ban

    Ikienda kinyume nipigwe ban Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
  16. Medecin

    JamiiForums Tanzania Simba wakishinda naomba moderator mnipige ban week nzima

    Japo Mimi ni mchambuzi tu na sina timu ila naomba kuungana na mchambuzi mwenzangu nguli mtaalam wa soka ndugu Labani og kuwa leo Yanga atashinda kirahisi mbele ya kikosi dhaifu cha makolo. Yanga kifupi inapangika tu kuanzia golini hadi Namba 7 lakini kuanzia Namba 8 had 11 haipangiki hujui...
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Yanga akifungwa na Simba nipigwe ban ya wiki

    Japo Mimi ni mchambuzi na sina timu kama kawaida yetu ila leo naomba ku-declare my interest kwa kuipa ushindi Yanga Kwa kosi zito walilonalo wananchi. Ni zito kucheza na Simba, naona Simba wataelemewa from the beginning hivyo kupigwa mvua ya goli. [emoji23][emoji23]Yanga kifupi inapangika tu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba anajiamini sana na ushindi wa derby

    Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii. Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million. Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak ukweli mapema.
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

    Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi: Hatuwajui sana Simba mpya na hawajacheza mechi za wazi kama sisi

    Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna...
Back
Top Bottom