dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TFF yatoa Notisi ya Siku 60 kwa Makampuni ya Betting kujieleza kwa kuweka Mechi ya Dabi (Yanga na Simba) kwenye mfumo bila idhini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Young Africans SC (Yanga) na Simba SC bila idhini. Mchezo huo wa Dabi...
  2. Waufukweni

    Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  3. Waufukweni

    Simba underdog mbele ya Yanga, Nassoro Mwinchui Pilato Dabi ya Kariakoo, Machi 1, 2026

    Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi hiyo Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na alama 28 na pia wamewafunga Simba mara sita mfululizo. Mchezo...
  4. Waufukweni

    Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

    Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
  5. MwananchiOG

    Kusumbua watu na kughasi mamlaka kuahirisha michezo, na barua za taarifa kwa umma, Kumbe timu yenyewe hauna

    Hili jambo limenisikitisha sana, Kwa zile mbwembwe za kamati za kujiita 'ubaya ubwege' na jinsi walivyokuwa wakitoa vitisho na kuonekana wamepania na kujipanga haswa nje na ndani ya uwanja kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu wa 2024/2025 LA HAULA! Kumbe ni kelele za debe tupu! Mwisho wa...
  6. Waufukweni

    Kabla ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote kupimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni

    Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
  7. ELI COHEN

    Simba wathibitisha kupeleka timu uwanjani

    Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo...
  8. Waufukweni

    Muonekano wa dimba la Mkapa kuelekea mechi ya Dabi, Yanga dhidi ya Simba

    Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
  9. DuaZaMama

    Ukija kwa Mkapa uje bila vurugu ulinzi upo wakutosha

    Jeshi la polisi limeimarisha ulinzi kuelekea Dabi ya kariakoo hapo baadaye majira ya saa 11 jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam.
  10. Bueno

    Leo Ndio 25.06.2025 Leo Ndio ile Siku Simba SC anaenda Kukichapa na Yanga. Je! Watacheza?

    Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC nani atamtwanga mwenzie siku ya leo? Je! Ni kweli leo Simba SC hawataingiza timu yao uwanjani yaani...
  11. G

    Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

    Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
  12. Muimba SINGELI

    Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Nitaifaangalia mpira nikiwa home Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change. Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya sana kwao. Wale ambao walishaisusa hii mechi kutokana na kuwa na mazonge mengi wataendelea na...
  13. DuaZaMama

    Marufuku silaha na magari yasiyo na vibali Dabi ya Kariakoo

    eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa kwa umma leo...
  14. Waufukweni

    Yanga kutuma barua TFF kuhusu Waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby dhidi ya Simba

    Yanga wamepanga kutuma barua TFF kuhusu waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby ya kesho dhidi ya Simba Wanawasiliana na TFF ili kupata ufafanuzi, kutoa maoni, mapendekezo au malalamiko na wanaamini vilabu vilipaswa kushirikishwa kwasababu ni jambo jipya. "Nikiri kuwa hatujashirikishwa...
  15. ngara23

    Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

    Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje...
  16. C

    Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi kwa mara ya kwanza tutashuhudia matokeo halisi ya derby

    Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili. Kama TFF wamekubali kuleta waamuzi kutoka nje,basi huenda mechi ikawa na ladha halisi ya Derby. Tumezoea kuona waamuzi wakifanya...
  17. Labani og

    Tafsiri ya kauli ya rais TFF ni kuwa Simba lazima walete timu tar 25 June,2025

    Kuna kolo walianza kujificha kwenye kivuli Cha kauli ya FIFA Kwamba hata wasipocheza Juni 25. Watabebwa na uchunguzi wa FIFA ila Kwa kauli ya karia ni kuwa fifa hawawezi tufungia[emoji23][emoji23][emoji23] So any janja janja from makolo Will be faced with strong punishment NB: jaribio la Simba...
  18. DuaZaMama

    Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  19. TODAYS

    PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Leo ijumaa tarehe 13 Juni, 2025 siku mbili kabla ya game kupigwa...
  20. DuaZaMama

    TFF ya kanusha kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo

    TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
Back
Top Bottom