customer

  1. M

    Mshahara wa Customer service Agent-Swissport tanzania

    Nani anajua range ya Mshahara kwa kampuni tajwa ....Kwa nafasi hyo..wenye uzoefu..?
  2. Zeus1

    Brela namba mlizoziweka ni urembo? Ampokei simu kabisa kwanini lakini?

    Haya mawasiliano yamewekwa brela ni urembo au, Aisee hawajamaa hawaja wahi kupokea simu. Yani kama uko shamba inabidi ufunge safari tu kufika ofisini.
  3. K

    Tunatafuta Mwalimu wa Part time wa Customer care, life skills na entrepreneurship

    Habari tunafuta mwalimu wa part time aliyepo Arusha anayemudu kufundisha masomo tajwa hapo juu, ANAWEZA KUWASILIANA NASI 0658547794 ENEO LA KAZI: NI CHUO CHA AIHM ARUSHA SAKINA
  4. useyourcommonsensetothink

    Hivi ni mimi pekee ninaepata changamoto na customer care ya CRDB bank?

    Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police. Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
  5. Mfinanga agness

    Exploring Opportunity in Sales, HR, and Administration Personal assistant, Receptionist,Sales, Customer Service and Enumerator( data collection)

    Hello, I am 25 yrs old, holder of Bachelor degree of human resource management. I am actively seeking roles in any sector and am highly skilled and experienced in Personal assistant, Receptionist, Sales, Customer Service, Enumerator(data collection ) and General Administration/HR. If anyone...
  6. Jamii Opportunities

    Customer Support Specialist at Meridianbet July 2025

    MERIDIANBET is looking for reliable and careful individual to join our team as an Customer Support. POSITION: Customer Support DEPARTMENT: Online Department LOCATION: Dar Es Salaam, Tanzania Tanzania travel guide REPORTING TO: Online Customer Support Manager REQUIREMENTS: Minimum 3 years’...
  7. L

    NBAA Ina changamoto ya customer care - badilikeni

    Habarini ya Muda huu, Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care. Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia E-Mail kwa email address yao ya info@nbaa.go.tz hawazijibu. Kwa sasa nipo Mpanda - Katavi nimeshatuma...
  8. N

    Infobip launches AI-powered CXOP to transform customer conversations

    Chief Business Officer at Infobip,Ivan Ostojić Global cloud communications platform Infobip today announced its Conversational Experience Orchestration Platform (CXOP) — a game-changing solution that places agentic AI at the heart of every customer interaction. CXOP enables brands to move...
  9. S

    KERO Kwanini Customer care wa halotel ni wabovu?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10 bila msaada wowote. Ukiandika kupitia mitandao yao ya kijamii wanajibu kwa kuchelewa au kwa ujumbe...
  10. Jamii Opportunities

    Customer Service Manager at ALAF May 2025

    Reference Number ALAF/2025/02 Description The Customer Service Manager is responsible to driving Customer First value by ensuring that the processes and the teams deliver on the desired customer experience. This involves overseeing the customer service team, ensuring excellent service delivery...
  11. Jamii Opportunities

    Customer Service Manager at ALAF May 2025

    Reference Number ALAF/2025/02 Description The Customer Service Manager is responsible to driving Customer First value by ensuring that the processes and the teams deliver on the desired customer experience. This involves overseeing the customer service team, ensuring excellent service delivery...
  12. Jamii Opportunities

    Customer Service Manager at Mwanga Hakika Bank May 2025

    Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) is a fully fledged commercial bank 100% owned by local Tanzanians. We have an exciting opportunity for enthusiastic and committed individuals to join our dynamic and growing team in the following open vacancy. Purpose of the Role To lead and manage the branch’s...
  13. Pdidy

    Mix by Yas mnatutesa sana kuanzia huduma zenu mpaka hao huduma kwa wateja yenu

    Hizi siku tatiu NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
  14. M

    Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  15. M

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  16. R

    Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

    Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
  17. Grand Canyon

    Hongereni CRDB Bank kwa customer service

    Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.
  18. Magical power

    Honey for sale.Very origin, pure Honey....Karibia Karibia customer....

    Honey for sale. Very origin, pure Honey.... Karibia Karibia customer....
  19. and 998 others

    Customer care Tanzania ni kipengele

    Nchi hii suala la kumjali Mteja ni kama halipo. Majuzi nilitaka kununua tiket za ndege kwa kutumia Master card kwa benki pendwa ya NMB sasa kila nilijaribu inagoma. Napiga customer care wananiambia hadi kesho Yale asubuhi niende kwenye Tawi nililofungulia akaunti. Daah!
  20. F

    Natafuta kazi ya Customer Services

    Hello naitwa Agnes mkazi wa Dar-es-Salaam ubungo natafuta kazi ya customer services
Back
Top Bottom