cuf

Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwetu sisi CUF, Lwakatare ni kama Okwi na Niyonzima

    LWAKATARE NI KAMA OKWI NA NIYONZIMA Kwetu sisi CUF thamani ya Lwakatare ni kama ile waliyonayo wachezaji OKWI na NIYONZIMA shabiki gani wa Simba na Yanga hajui thamani ya Wachezaji hawa wataondoka watatembea huko lakini lazima warudi nyumbani na viwango vyao vinabaki kuwa juu"
  2. Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

    Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF. Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
  3. M

    Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

    Shamrashamra zimeshaanza hapa Manzese tawi la Kosovo. Inasemekana Mh Lwakatare yuko maeneo ya Kibaha kwa sasa. Watu wako kwenye ari kubwa sana. === CUF yaeleza itakavyomtumia Lwakatare kuiangamiza Chadema CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema...
  4. GE2020 Usaliti ni laana : CUF yakosa wagombea, Lipumba aanza kuokoteza mitaani, aomba wote wanataka kugombea wajitokeze

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV . Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho...
  5. Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr #ChukuaTafadhaliCoronaInazuilika

    Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr
  6. Lipumba na Mutungi waumbuka , tuhuma zao za kutafuna hela za CUF zathibitishwa na CAG

    Haya yamesemwa na CAG kicheere leo , ikumbukwe kwamba jambo hili lililalamikiwa sana na Maalim Seif wakati wa Mgogoro wa Cuf uliofadhiliwa na ccm. Mutungi alipuuza kwa vile kulikuwa na viashiria vya ushiriki wake kwenye mgogoro ule . Hakika muda umeongea wenyewe Lipumba afungua akaunti mpya...
  7. J

    Siasa zinazofanywa na CHADEMA zilifanywa na Prof. Lipumba na CUF wakati wa IGP Mahita zikafeli. Je, mwamba Mbowe atafaulu?

    Hizi siasa zinazofanywa na Chadema leo wakiongozwa na Mbowe zilishafanywa na CUF ya Lipumba na Maalim Seif enzi za IGP Omar Mahita lakini zilifeli. Wakati ule CUF walijiita Ngangari na Mahita akawabatiza vijana wake jina la "Ngunguri" na kilichofuatia tunakijua CUF walihamia uhamishoni Mombasa...
  8. Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

    Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
  9. Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
  10. Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo. Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
  11. CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi

    Date::8/28/2008 CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi ..... Kizitto Noya na Saa Mohamed Mwananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekosa maadili ya uongozi kutokana na kutowachukulia hatua za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…