crdb

  1. JE CRDB hawataki kukopesha?

    Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala. Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa yamekwama level ya service provider ku accept ili afisa utumishi aweze kuona na kupitisha, kesho yake...
  2. CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
  3. CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  4. Database Administrator at CRDB

    Job type: Full-time Database Administrator Department DEPARTMENT OF ICT Location Tanzania Head Office Number of openings 1 Job Purpose To perform basic database administration functions for the bank’s entire database management systems while ensuring that best practices for development...
  5. Business Analyst – Business Performance & Revenue Assurance at CRDB

    Business Analyst – Business Performance & Revenue Assurance Department - DEPARTMENT OF RETAIL BANKING Location- Tanzania Head Office Number of openings - 1 Job Purpose The Revenue Assurance role ensures the bank’s revenue integrity by monitoring, analysing, and safeguarding against...
  6. J

    Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
  7. Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  8. Viongozi wa dini wapongeza uzinduzi wa akaunti ya sadaka ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango mingine inayolenga kuwarahisishia waumini kumtolea Mwenyezi Mungu wakati wa ibada au hata wanaposhindwa...
  9. CRDB wakiona hii video ya konde boi mjeshi akicheza lazima wapanic.

    Maana ana cheza kanakwamba sio mdaiwa sugu😂😂🤣 https://x.com/Kirikuu20/status/1828029275099828561?t=zYCmozjIC-s5EIqEyeBhCA&s=19
  10. Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  11. CRDB MARATHON KAMA HUTAUDHURIA KWA NAMNA YOYOTE NIPE KIT

    Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa, Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari hivyo sio mbaya kuomba backup, na hamna sehemu nyingine ya kuwapa backup isipokuwa hapa where we dare...
  12. Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019. Mkopo huo uliokuwa na...
  13. Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. NB: Kila...
  14. Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  15. Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  16. CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  17. Benki ya CRDB kushirikiana na Water.Org kuborosha miradi ya maji na usafi

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
  18. CRDB kupitia SIMBANKING imefeli kabisa kufanya kazi vizuri

    Habarini Wadau, CRDB benki kongwe na yenye Qateja lukuki hapa nchini inakera sana na sasa haiaminiki tena katika huduma yake ya SIMBANKING Wiki mbili zilizopita nilienda kwa Wakala ili kutoa kiasi flan cha pesa, ilikuwa ni asubuhi saa 3, ila kila ukijaribu kufanya transaction kwa njia ya...
  19. Nimepokea 468,000 akaunti yangu ya CRDB, sijaielewa imetoka wapi

    Sijui ni ushamba au mimi ndio sielewi, sikuingia kwenye app yangu ya CRDB takribani mwezi mzima, Leo nikasema niingie ninunue vocha, kabla ya kununua vocha nikaona niangalie salio Kwanza, hapo nikakuta ongezeko la kiasi cha 468,000 imeongezeka kwenye kiasi kilichokuwepo mwanzo. Nikasema niende...
  20. TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…