HABARI,
Nahitaji kujua kama ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?
Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.
Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu...