condom

A condom is a sheath-shaped barrier device used during sexual intercourse to reduce the probability of pregnancy or a sexually transmitted infection (STI). There are both male and female condoms. With proper use—and use at every act of intercourse—women whose partners use male condoms experience a 2% per-year pregnancy rate. With typical use the rate of pregnancy is 18% per-year. Their use greatly decreases the risk of gonorrhea, chlamydia, trichomoniasis, hepatitis B, and HIV/AIDS. To a lesser extent, they also protect against genital herpes, human papillomavirus (HPV), and syphilis.The male condom is rolled onto an erect penis before intercourse and works by forming a physical barrier which blocks semen from entering the body of a sexual partner. Male condoms are typically made from latex and, less commonly, from polyurethane, polyisoprene, or lamb intestine. Male condoms have the advantages of ease of use, easy to access, and few side effects. Men with a latex allergy should use condoms made from a material other than latex, such as polyurethane. Female condoms are typically made from polyurethane and may be used multiple times.Condoms as a method of preventing STIs have been used since at least 1564. Rubber condoms became available in 1855, followed by latex condoms in the 1920s. It is on the World Health Organization's List of Essential Medicines. In the United States condoms usually cost less than US$1.00. As of 2019, globally around 21% of those using birth control use the condom, making it the second-most common method after female sterilization (24%). Rates of condom use are highest in East and Southeast Asia, Europe and North America. About six to nine billion are sold a year.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya fanyeni haya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI nchini

    Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi! Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO! Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

    Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanaona aibu kununua Condom dukani/pharmacy au kwanini watu wengi huogopa kuingia lodge/guest house kuulizia vyumba?

    Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu kakuta condom ndani

    Kama ilivyo jieleza hapo juu mimi ni mtumishi wa afya katika zahanati fulani, mwezi uliopita mkewangu alienda kwao kutokana na matatizo fulani na mimi nilikuwa ndio naanza likizo. Kunasiku jamaa mmoja aliniomba tu nimchukulie Condom atazipitia maana ilikuwa ni mda wa kufunga zahanati, baada ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    “Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma. Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kubembelezwa na mpenzi wako uvue Kondomu katikati ya tendo lakini ukaendelea na msimamo wa kutokuvua ?

    Heshima kwenu wakubwa na wadogo Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia vitu flani ambavyo kiuhalisia wala huna uwezo navyo na yote hii husababishwa na zile raha tuzipatazo...
  9. JamiiForums Tanzania Kila atakayetumia Condom kwa kila tendo apewe Tsh 10,000

    Nashauri tu katika harakati za kupungumza maambukizi ya Ukimwi kuwe na Kampeni hii. Nmejifunza kwa alichosema Rais wa Usa Joe Biden kuwa kila atakayechanjwa atalipwa usd 100. Nikawaza na sisi kweli hatuwezi fanya kampeni kama hiyo? Je si vema sasa kutumia pesa kukinga maisha ya hawa binadamu...
  10. JamiiForums Tanzania ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu. I tell you! UPDATE Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

    Wakuu, Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli. Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini? Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke. Wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…