comoro

The Grand Comoro bulbul (Hypsipetes parvirostris) is a species of songbird in the bulbul family, Pycnonotidae.
It is found on the Comoro Islands.
Its natural habitat is subtropical or tropical moist montane forests. Until 2011, the Moheli bulbul was considered as a subspecies of the Grand Comoro bulbul. Alternative names for the Grand Comoro bulbul include the Comoro bulbul and Grand Comoro black bulbul.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Air Tanzania mnachelewesha mizigo ya wasafiri wenu wa Comoro hadi kero, jirekebisheni, mnatukwaza

    Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili. Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
  2. Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  3. Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  4. P

    Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  5. JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  6. Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

    Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
  7. Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025 https://www.youtube.com/live/ARMJblFM7kg?si=RP84lkaqiIDNLqgC Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Rais Samia amependekeza Comoro wafundishe lugha ya kiswahili nchini mwao na Tanzania ipo tayari kuwasaidia...
  8. Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia

    Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amepokea ujumbe maalum wa Rais wa Visiwa vya Comoro...
  9. Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  10. Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  11. Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro

    Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Comoro Mhe. Nour el Fatih Azali ambapo wamezungumzia masuala kadhaa ya ushirikiano wa Tanzania na Comoro. Balozi Yakubu alitumia...
  12. J

    Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji

    Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amemhakikishia Waziri mpya wa usafirishaji wa Comoro Bi. Hassane Alfeine Yasmine kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo katika sekta ya usafirishaji wa Angani na Baharini...
  13. Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro

    Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro Spika wa Bunge la Comoro, Mhe. Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro. Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania...
  14. Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro

    Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 📍Moroni, Comoro 📅 14-16 Machi, 2025
  15. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imehitimisha ziara muhimu nchini Comoro

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imehitimisha ziara muhimu nchini Comoro kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu juu ya mifumo bora ya ushirikishaji wa Diaspora katika maendeleo ya taifa. Katika ziara hiyo, Kamati ilikutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  16. Mkurugenzi ZBC atembelea Ubalozi wa Tanzania Comoro

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ramadhani Bukini leo ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro ambapo amefanya mazungumzo na Maafisa Ubalozini hapo wakiongozwa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu. Bwana Bukini alitumia wasaa huo kuelezea maboresho yanayoendelea...
  17. CCM na CRC - Chama tawala Comoro kushirikiana

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
  18. Tanzania na Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMA

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe. Balozi Yakubu alimueleza Mtendaji Mkuu Bwana Ahamada kuhusu hatua kubwa ambazo Tanzania imepiga katika...
  19. Ushauri biashara nchini Comoro

    Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...
  20. Shirika la Utangazaji Comoro tayari kushirikiana na ZBC/ TBC

    Shirika la Utangazaji Nchini Comoro (ORTC) limeelezea utayari wake katika kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Taifa na la Zanzibar ili kuboresha mahusiano ya kihistoria na kuendeleza lugha ya Kiswahili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ORTC, Hablani Assoumani alipomkaribisha Balozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…