commonwealth

A commonwealth is a traditional English term for a political community founded for the common good. Historically, it has been synonymous with "republic". The noun "commonwealth", meaning "public welfare, general good or advantage", dates from the 15th century. Originally a phrase (the common-wealth or the common wealth – echoed in the modern synonym "public wealth"), it comes from the old meaning of "wealth", which is "well-being", and is itself a loose translation of the Latin res publica (republic). The term literally meant "common well-being". In the 17th century, the definition of "commonwealth" expanded from its original sense of "public welfare" or "commonweal" to mean "a state in which the supreme power is vested in the people; a republic or democratic state".The term evolved to become a title to a number of political entities. Three countries – Australia, the Bahamas, and Dominica – have the official title "Commonwealth", as do four U.S. states and two U.S. territories. Since the early 20th century, the term has been used to name some fraternal associations of states, most notably the Commonwealth of Nations, an organisation primarily of former territories of the British Empire. The organisation is not to be confused with the realms of the Commonwealth.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  2. Manyanza

    Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  3. M

    Commonwealth Ministers Place Tanzania on Formal Agenda Following Election Violence Concerns

    December 05, 2025 LONDON/VALETTA – The Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) has officially placed the United Republic of Tanzania on its formal agenda, citing "deep concern" over breaches of fundamental values, including human rights, freedom of expression, and the rule of law...
  4. President of China

    Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa. Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
  5. President of China

    Kituko cha Jumuiya ya Madola - Kwikwikwikwikwi

    Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi. Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy...
  6. K

    Kituko cha Jumuiya ya Commonwealth

    Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi. Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy...
  7. S.M.P2503

    PostGE2025 Commonwealth ni kanyaboya: Wakati umefika tuiambie kwa sauti kubwa, hatudanganyiki tena

    Kwa muda mrefu sana, Bara la Afrika limegeuzwa uwanja wa majaribio ya diplomasia ya malaika wanaojifanya wanakuja kuleta amani, lakini nyuma ya pazia wanashughulikia maslahi yao wenyewe. Na sasa, tumefikia hatua ya kutosha kabisa kusema ukweli bila kupamba maneno: mfumo wa Commonwealth, kama...
  8. Poppy Hatonn

    Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  9. and 998 others

    Tunawakilishwa na nani Commonwealth Heads of Government Meeting, Samoa?

    Kama mjuavyo Commonwealth Heads of Government Meeting tarehe 25-26 Oktoba 2024 huko Samoa. Nani anapeleka agenda yetu huko? World Food Summit, Rome, Italy kama kawaida.
  10. and 998 others

    Upcoming trips abroad: World Food Summit (Italy) & Commonwealth heads of Government (Samoa)

    Watanzania fursa zinazidi kufunguka duniani. Mikutano mkubwa hiyo tayari. Ni nyie kucheza na fursa Tu. Asanteni
  11. olimpio

    Rais Mwinyi aongoza kikao cha jumuiya ya madola kinafanyika zanzibar kuhusu mageuzi ya kidigitali

    Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Attention students and recent graduates! The Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships (QECS) have just announced their scholarship program

    Attention students and recent graduates! The Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships (QECS) have just announced their scholarship program, offering a unique opportunity to study a two-year Master's degree in a low or middle income Commonwealth country. If you are committed to creating change...
  13. Thailand

    Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  14. BARD AI

    Commonwealth Observer Group publishes final report on Zambia’s 2021 elections

    The Commonwealth Observer Group (COG) to Zambia released its final report on the 2021 general elections, which saw Hakainde Hichilema become the country’s seventh President. The 14-member delegation, led by the former President of Tanzania, H.E. Dr Jakaya Kikwete, concluded that despite some...
Back
Top Bottom